Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata mimi ningerudi wanacheza watu wasiojua mpiraBen White has gone home from Qatar for personal reasons and isn’t expected to return to the squad for the rest of the tournament.
(@JacobSteinberg )
Umeona statement ya EnglandHata mimi ningerudi wanacheza watu wasiojua mpira
wengine kwenye klabu zao hawapati nafasi ila kocha anawapanga tu
BORA MUWAZE MAKOMBE HAYO YA FA, HUKU WC HAMNA CHENU.Tumepangwa kucheza ugenini na Oxford United ya league one (Uingereza) kwenye mchezo wa raundi ya 3 ya FA Cup utakao pigwa wiki ya January 7 mwakani.
WC ni timu za taifaBORA MUWAZE MAKOMBE HAYO YA FA, HUKU WC HAMNA CHENU.
Vipi Ben White amesharipoti kwenye kambi ya Arsenyani?Kocha wa Brazil Tite anauona ubora wa timu yake kwa kusema ana Martinelli ambaye anaichezea Arsenal kama mfano.
Anasema hakuna mtu katika timu yao mwenye namba ya kudumu au mbadala.
(@simpraisa)
“You take Fabinho, is he a Liverpool starter, Ederson? A City starter. Gabriel Jesus, Martinelli, an Arsenal starter. I have 26 great players.” [via @simpraisa]View attachment 2432672
Hata Mimi ningeondoka , timu inaendeshwa kijanja janja Sana ileVipi Ben White amesharipoti kwenye kambi ya Arsenyani?
Naskia ameondoka kwa hasira Qatar baada ya kuona muda wote anakalia mbao ngumu za bench huku Le Captain Maguire kila mechi yupo uwanjani.
Hata Mimi ningeondoka , timu inaendeshwa kijanja janja Sana ile
Kaona asepe zake ,wanasema personal issue ,na hategemei kurudi ,hiyo Ni mbinu ya kusepa sehemu unapoona huna furaha
Mechi zote za makundi zimeisha hakuna dalili za kucheza , huko mbeleni asingepewa nafasi hata dk 1,
Amenikumbusha nilikuwa jeshi nikaona sielewi na Sina furaha, nikasema Nina personal issue za kifamily ,nikasepa na sikutarajia kurudi Tena.
Timu za taifa Makocha Wana watu wao huwa wapo tu ,
Cheupe roho imemuuma kuona anapata namba ya kudumu mazoezini tu.
Ila tuache utani wachezaji wa Man united wameing'arisha sana world cup ya mwaka huu.
Nilishasemaga hichi ni kikundi cha ma.shoga na wafirwauni. Wangewafukuza wachezaji wote wa arsenal WC. mana ndio michezo yao.View attachment 2432942
Inasemekana waharabu wamefukuza hii chakula, kisa inafanyiwa kitu dini hairuhusu. Inchi ya kiislam ile.