Kwa mujibu wa @jorgenicola mwandishi kutoka Brazil
Anasema mawakala wa Danilo wamemfahamisha kuwa Arsenal inakusudia kuweka dau la kumnunua mchezaji huyo baada ya hatua ya makundi ya kombe la dunia kukamilika.
Jorge Nicola amekuwa chanzo cha kuaminika kuhusu habari za Arsenal na Wabrazil katika miaka iliyopita. Ndiye mwandishi wa kwanza kuripoti habari za Arsenal kuwataka Martinelli, Willian na Gabriel Jesus.
“Mikel is challenging me every day - tactically, technically and emotionally. The intensity they train at is really high and I’m looking forward to the challenge that presents itself.”
Wachezaji w arsenal wana nux wakiwepo kwnye kikosi hakishindi, uwepo wa saka umesababsha england isishinde. Nawashaur makocha wawaanzishe benchi kama alivyofanya kocha wa brazil.
Wachezaji w arsenal wana nux wakiwepo kwnye kikosi hakishindi, uwepo wa saka umesababsha england isishinde. Nawashaur makocha wawaanzishe benchi kama alivyofanya kocha wa brazil.