Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwa nakukubali sana mkuu 👏
Huwa unafurahisha sana
 
Nyie bado ni takataka tu ..mumekutana na wachovu wavimba macho livakuku ishajichokea siyo “big six” tena.
 
Tumeshinda ila nafurahi kuona tunaongea lugha moja kwa Gabriel, nilivyoandika mara ya kwanza niliambiwa namchukia
Pengine labda una vision au darubin ya ku maxmize micro thing, kipindi kile unaleta hii hoja nilikua nakushangaa lakin pia kiukwel haya makosa yalikua hayaonekani mzee
ameanza kuchachawa tu hapa karibuni
 
Tomiyasu ni unsung hero pale Arsenal duuh jamaa anajua,

Hivi baad ya sub ya Tierney nani alielewa tulicheza mfumo gani? maana alicheza upande ule ule aliakua anacheza Tomiyasu na Tomiyasu hakuama namba, adi sahiv sijaelewa lakin ile sub iliongeza nguvu sana kwenye ulinzi tukatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…