sancho huyu huyu anayekwa benchi na saka timu ya taifa ?Mnachuki kweli arsenyeto, yaani hata sidhani kama mnamchezaji kama sancho
Huyu shoga anakujaga kufanya nini huku Aaron, Computer, Hamis et al.Mnachuki kweli arsenyeto, yaani hata sidhani kama mnamchezaji kama sancho
Ngoja msimu uishe mtakuja kumkataa hapa.“You need to believe you can compete.”
Mikel Arteta tells Arsenal to play without fear against Liverpool
View attachment 2380243'Fear is the worst enemy' Arteta issues warning to Arsenal stars ahead of Liverpool test | Goal.com UK
Mikel Arteta has urged his table-topping Arsenal side to show no fear when they host Liverpool on Sunday afternoon.t.co
The form will win.Mnauhakika mnaenda kuwafunga Liverpool?...
Tukija kwenye uwezo wa wachezaji mmoja mmoja , Liverpool bado wanawazid mazee au mnasemaje ....
Saka vs salah ...ni vile tu Saka yupo kwenye form ila class ya salah Kila mtu anaijua...
Diaz Vs martinel ...class ya Diaz martnell anakaaa ,ni vile tu Martinel yupo kwenye form ...
Partey Vs fabihno ....mazee hapa mnajua kabisa partey yupo kwenye form ila class ya fabihno ohooooo no comment...
VVD vs saliba ...hapa Kila mtu anaona kabisa kuwa class ya vvd ni kiwango Cha stg ni vile tu Saliba moto wa gesi umewaka yupo kwenye form ...
Firmino Vs Jesus ....form ya Jesus ni moto ila class ya firmino kwenye finishing ....nyie wenyewe mnajua ...
Thiago vs xhaka ....Kila mtu anajua moto wa Thiago ila ni vile tu xhaka saizi ni moto wa kuotea mbalii
Kitakacho kuwa kinapambana jumapili ni
Forms vs class ....!!!!!
Nasisi gari letu tushawaka..tutamsumbua city mpaka kielewekeArsenal msimu huu mmeanza vizuri sana na mpo on form. Ila ku-battle na City kwenye ubingwa wa EPL ni ngumu sana.
City ndiyo hivyo gari lishawaka hapo anaweza kutembea mechi 10 anashinda tu kitu ambacho Arsenal hamtaweza kufanya.
Huyu shoga anakujaga kufanya nini huku Aaron, Computer, Hamis et al.
Ngoja msimu uishe mtakuja kumkataa hapa.
kwa mchezaji nwanweri wa 2007,
Leo Liverpool akitufunga Emirates pale utakua muujiza mwingine katika soka,.