Nilishasema mkaona naongelea ushabiki arsenal hana kikosi cha kumfunga man U mlivyoona tumepigwa na Brighton,na Brentford mkaona sisi wabovu sawa sawa.
Arteta amefanya gamble kuwatoa Odegaard, Lokonga na Zinchenko kukiwa kumebakia dakika 20.
Hilo ndilo kosa pekee la Arsenal leo, otherwise tumecheza mpira mzuri bila kufikiria mbinu ya Manchester United ambayo nilisema watacheza counter attack.
Hata hivyo bado twaongoza ligi na next march Europa league.
Hongera zao Manchester United kwa counter attacking football.