Wanaweza kuwepo ila naomba wawaache had jpili dhid ya nyumbuHawa kenge wa darajan tuwapuuze ,tujadilini timu yetu
Kuna usajiri
Tunavyocheza
N.k
Hawa kenge wametoka darajani baada ya kupata ahuen jana
Tuweke record sawa toka amefika arsenal kafanya makosa Kama hayo mangapi?katika mechi ngapiProblem aliyonayo ni kuwa na makosa yanayojirudia rudia kwani tukio la jana kwa Gabriel ni jambo jipya?why Saliba alivyojifunga hakusemwa?awe makini zaidi ni defender mzuri but concentration yake sometimes inapotea
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
HahahaMagalhaes akimjibu hater
View attachment 2337193
Tuweke record sawa toka amefika arsenal kafanya makosa Kama hayo mangapi?katika mechi ngapi
Je beki gan hakosei? Dias pale city amefanya makosa Kama hayo Sana ,beki gan hajawahi kuchoma? Nataka kujua Magalhaes kakosea makosa Kama hayo mangapi ?ili tujue Ni kawaida, Kama beki anacheza game 10 ,anakosea mechi 1 ,sio tatizo ,Kuna mabeki Kama mustafi, magwaya, n.k hao mech after mech wanakuchoma
Magalhaes alifanya vzr France aliingia Hadi kikos Bora Cha msimu,
Saliba ndio msimu wakwanza huu akiwa arsenal
Inatakiwa wapate majeruhi ya muda murefu. Ili wapumzike zaidi. Tuombe iwe hivyo.Daktari wa klabu ya Arsenal Gary Driscoll amesema Zinchenko na Partey walizuiliwa kucheza kama tahadhari watarejea mapema.
MunaEti Nyie matakataka ..eti wananzengo wanasema nanyi muna Jambo lenu msimu huu ..Ni kweli nyie arse8 wazee wa kupakuana muna Jambo leenu huu msimu?? Mimi nawahakikishia musimu huu mukifaiti Sana mutabeba karabao na kupata at least nafasi ya nne.
ni mwendo wa kutoa dozi tuSioni wakuzuia hapa tusibebe point 3
Arsenal’s next six fixtures:
◉ Aston Villa
◎ Manchester United
◎ FC Zürich
◉ Everton
◉ PSV Eindhoven
◎ Brentford
How many points?👇
ila we jamaaHatushuki kileleni mpka ubingwa COYG
Wewe jamaa nimekushindwa tabia😂😂😂😂Hatushuki kileleni mpka ubingwa COYG
Atayapata kante na kova, ili muwe mnabana kende had dk za mwishoInatakiwa wapate majeruhi ya muda murefu. Ili wapumzike zaidi. Tuombe iwe hivyo.
Sijakataa Magalhaes Kuna Muda huwa anajisahau hata Jana alikuwa free akzingua, lkn tunaponda sana,hivi tumesahau tulikuwa na. Kina mustafi kila baada ya mech 2 anatuuzaTatizo hamis77 unaweka ushabiki zaidi ni kweli mpira ni mchezo wa kimakosa that's the truth ,Gabriel ni defender mzuri sana na hata kuscore yupo vizuri sana ila Gabriel kwa kosa la jana wewe limekushangaza ?nimekuuliza why yeye asemwe na sio saliba alivyojifunga? kwenye baadhi ya games zake blunder lazima afanye ,mistake nyingine huwa zinaokolewa na wenzie kama sio kutoa pasi mbovu au lolote lile ambalo Mungu huwa anasaidia mambo yanakaa sawa ana tatizo la concentration sometimes ukimcheki Saliba unaona kabisa muda wote concentration ipo juu kwa upande wake licha ni mgeni na pia games 34 zimebakia ntakuja kukumbusha
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app