OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wewe kenge wa darajani baada ya kulambwa 3-0 Ndio unaonekana leoNyie ma arse8 na nyie munataka ubingwa? Mechi Tatu za mwanzo mlizoshinda zinawapa kiburi ee..
Eti na nyie saiv munajiita mabingwa watarajiwa. ..dah haya maisha haya..
Nyie ma arse8 na nyie munataka ubingwa? Mechi Tatu za mwanzo mlizoshinda zinawapa kiburi ee..
Eti na nyie saiv munajiita mabingwa watarajiwa. ..dah haya maisha haya..
Hili dili haliishi tu.Negotiations ongoing between OGC Nice and Arsenal for Nicolas Pépé - been told buy option currently not included, could be simple loan until June 2023 but all parties in talks, it’s still open.#AFC
Optimism also on clubs side, but Pépé’s salary is being discussed. https://t.co/EYXFBEIV1c
100%Tulia dogo, nasikia mnamtaka Aubameyang, timu haijengwi na wachezaji ambao wanajivunia their past glories. Angalia kinachomtesa Man United. ETH anatakiwa kufanya maamuzi aliyoyafanya Arteta kwa Laca na Auba
Tusipo angalia huyu dogo tuna mkosa, utashangaa katua Anfield pale, maana wale jamaa wamefilisika viungo na dirisha ndo hivi linaishia ishia wanaweza chachuka wakambeba kwa gharama yoyote tukamkosaInatarajiwa kwamba Leicester itapunguza bei kwa Tielemans kufanya uhamisho uwezekane. Arsenal wanavutiwa zaidi. Mchezaji ni mtulivu kwani anajua yuko kwenye nafasi nzuri ya kuhama
(@nieuwsbladsport )- Reliable
Ana mshahara mrefu,arsenal wanataka Nice walipe parefuHili dili haliishi tu.
Liverpool Hana pesaTusipo angalia huyu dogo tuna mkosa, utashangaa katua Anfield pale, maana wale jamaa wamefilisika viungo na dirisha ndo hivi linaishia ishia wanaweza chachuka wakambeba kwa gharama yoyote tukamkosa
Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako
Tabia za KiWenger bado zipo.Tusipo angalia huyu dogo tuna mkosa, utashangaa katua Anfield pale, maana wale jamaa wamefilisika viungo na dirisha ndo hivi linaishia ishia wanaweza chachuka wakambeba kwa gharama yoyote tukamkosa
Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako
#Started from the bottom now we here.From the days of ‘£40 million’ transfer budgets to FFP allegations. We made it out of the hood.
#Started from the bottom now we hereFrom the days of ‘£40 million’ transfer budgets to FFP allegations. We made it out of the hood.
Newcastle hajanunua wachezaji wengi?Hamis, let me try to explain this in a simple language: the main purpose of introducing FFP evolved from International Accounting Standard IAS 38( accounting for intangible assets).it principally aims at preventing economic doping. Kama tunavyolalamika hapa Kroenke hatoi hela za kununua wachezaji (pengine tunalamika bila kujua) na pengine tunalalamika bila kujua maswala ya uhasibu wa timu za mpira yanakuwaje. Timu za mpira zinatakiwa kujiendesha kutokana na mapato yake (self generated revenues), this is one of the objectives of FFP mengine ikiwa ni transparency, credibility etc.
utaona hapa kwamba wanalenga kuua utegemezi wa wamiliki wa timu kuendesha timu kwa kiwango kikubwa. Ndio maana timu kama Newcastle haijanunua wachezaji wengi.
Asante sana mkuu. Hapa naona nimepata elimu nzuri hapa jukwaani for a change.Newcastle hajununua wachezaji wengi msimu huu. Kumbuka alianza kununua msimu uliopita sio wote wameingia mwaka huu. Barcelona ni klabu kubwa ana mercandise za kutosha na viingilio vingi(fanbase kubwa). Wachezaji wengine aliowanunua hajawaingiza rasmi kwenye timu mpaka auze.
Moja ya sheria za FFP ni kuhusu madeni: inatakiwa timu isiwe na madeni mengi yaliyopitiliza muda wa kulipika(overdue payables).
Kuna tofauti kati ya losses zinazoonekana kwenye profit and loss account, na kuwa na madeni yanayopitiliza muda wa kulipika (overdue payables), Wahasibu watanielewa. Unaweza kuwa na amortisation na impairment losses kubwa za wachezaji mwaka huu ukasababishia timu kuwa na losses kwenye P&L; pasipokuwa na overdue payables.
All in all swala la breaking even point linasisitizwa.
Tutaeleweshana taratibu mutaelewa haya mambo ya kiuhasibu.
Tuchukulie mchezaji wetu Pepe kama mfano. Alinunuliwa usd 72m kwa mkataba wa miaka nadhani 4 (not sure); amortisation yake kila mwaka ni usd 18m. Lakini hapa kati kiwango chake kimeshuka sana, kwa hiyo klabu kutakiwa ku- declare impairment loss maybe $15m mwaka wa tatu. Kwa hiyo $33m zitapunguzwa kwenye P&L account.mwaka huo wa tatu in respect of Pepe. Hii ni kwa mchezaji mmoja kwenye timu; na sheria za FFP zinataka kwa kila capitalised player ionyeshwe analysed details kila mwisho wa fy (player identification table)Eg:
alinunuliwa bei gani, ana mkataba wa miaka mingapi, jina lake na tarehe ya kuzaliwa, amortisation brought forward at the end of accounting period, amortisation during the period,impairment cost during the period, disposals (cost and accumulated amortisation) pamoja kuonyesha netbook value (carrying amount); na kwa mchezaji aliyeuzwa ionyeshwe profit/loss