Tieleman vip|| In the next few hours, Arsenal will reportedly formally offer €40m (£34m) for Yéremy Pino [Via - @TDFichajes].
Hivi huyu pino anajua kweli? Anaweza kumchallange Saka?
Mm ningemchukua isamair sarr , namkubali Sana
Kubeba ndoo?? Utani huuSpurs ana balaa msimu huu, wanaweza wakatu surprise kwa kubeba ndoo, wana timu iliyo kamilika kila idara na kocha mwenye mbinu,
Msimu huu wa moto sana
Pep Guardiola confirms that Sergio Gómez will be Manchester City left back: “He's one for now, Sergio will be part of the first team”. 🚨🔵 #MCFCNimeona you tube man city wanamtaka Tierney.
Bundesliga imetoa sitaBukayo Saka is the only Premier League representative in the 2022 Kopa Trophy nominees 🏴✨
2022 Trophée Kopa nominees:
🇩🇪 Karim Adeyemi
🏴 Jude Bellingham
🇫🇷 Eduardo Camavinga
🇪🇸 Gavi
🇳🇱 Ryan Gravenberch
🇭🇷 Joško Gvardiol
🇵🇹 Nuno Mendes
🇩🇪 Jamal Musiala
🏴 Bukayo Saka
🇩🇪 Florian Wirtz
Mwanetuu
Leicester akipona Sana 3, akilegea anakula had 5Nyie AsaniWali nina salamu zenu toka kwa Brendan Rodger's.
Rodgers anasema Leicester City sio Crystal Palace hivyo muandae kabisa pain killer za kumeza baada ya mechi.
Mwendo ni uleule wa 3-5-1-1
Safu ya ulinzi ikiwakilishwa na mabeki nguli Mr. Captain mwenyewe John Evans, Fofana na Daniel Amartey.
Midfild kuna mkali mwenyewe Tielemans, Dewsbury, James Justin, Wilfred Ndindi na Timothy Castagne.
Mbele yupo Jamie Vardy na James Maddison.
Rodgers anasema Marehemu leo anazikwa kwenye makaburi ya Emirates.
View attachment 2322823
Nyie AsaniWali nina salamu zenu toka kwa Brendan Rodger's.Match day
Arsenal vs Leicester city
Updates
Rowe yupo
Tomi yupo
Tierney yupo
Fabio Vieira bado ni doubt
Arsena 4 Leicester city 0
Leo GJESUS anafungua akaunt ya mabao,Nyie AsaniWali nina salamu zenu toka kwa Brendan Rodger's.
Rodgers anasema Leicester City sio Crystal Palace hivyo muandae kabisa pain killer za kumeza baada ya mechi.
Mwendo ni uleule wa 3-5-1-1
Safu ya ulinzi ikiwakilishwa na mabeki nguli Mr. Captain mwenyewe John Evans, Fofana na Daniel Amartey.
Midfild kuna mkali mwenyewe Tielemans, Dewsbury, James Justin, Wilfred Ndindi na Timothy Castagne.
Mbele yupo Jamie Vardy na James Maddison.
Rodgers anasema Marehemu leo anazikwa kwenye makaburi ya Emirates.View attachment 2322824
Leo GJESUS anafungua akaunt ya mabao,
Leo Saka anaingia kambani,
Leo Kuna 3+ ,ARSENAL 3 LEICESTER 0
Wakileta ubishi tunawapiga mbinyo zinafika 4
Yani wewe baadae una kazi ngumu dhidi ya Brentford halafu unakuja kuzulula huku!Sioni mkitoka arsenyeto leo kwaili formation na simama na Leicester city.View attachment 2322998