Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#Arsenal non home grown players once Mari & Rúnarsson leave.

Turner
Tomiyasu
Gabriel
Cedric
KT
Zinchenko
Elneny
Sam I
Partey
Xhaka
Odegaard
Jesus
Vieira
Pepe

14

PL limit is 17.
Club can fill 3 remaining spaces with signings or it’ll be wasted on HG players.

#afc
 
KWENYE EPISODE INAYOFATA YA ALL OR NOTHING


Mikel Arteta alitumia tweet ya Ivan Toney kama motisha wakati wa kukabiliana na Brentford:

“Unajua alifanya nini? Je! unaijua tweet hii? Kwa hivyo leo wanacheza nyumbani kwetu(Emirates) na kuna timu moja tu kwenye uwanja huo wa kucheza na ni sisi.

BRENTFORD ALIKULA KIPIGO 2-0


 
Huu mchezo Arsenal wanaomchezea Leicester juu ya Tielemans, watajua hawajui.

Arsenal wanazidi ku buy time tu!

Arsenal wameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa hawana haraka na Tielemans, wako tayari kumsubiri mpaka mwakani 2023 mkataba wake utakapoisha.

Hawatoamini, watakuja kumtoa siku ya deadline kwa ada ya chini ya £20mil..

Tuendelee kuiskilizia hii show mpaka mwisho.
 
Hii ishakua kamari, inaweza ikala upande wetu pia

Aaanh, lakini nimekumbuka
Kuna huyu Vieira T-bag, muhuni anajua kuyaona mashimo kama odegard

Kuna siku nilikua namuangalia mara kumi kumi
Nikagundua yule mtoto hafai, ni killer.
Bonge moja la creativity midfielder

 
huyu mbona hakucheza game ya juzi shida nn
 
Kumbe weekend ni chelsea vs Spurs?sare itakuwa vizuri sana ila apigwe yeyote fresh tu.😃😃
 
Anaweza kubebwa pia na team nyngne cyo kwamba sisi tu ndo tunamtaka
 
Spurs ana balaa msimu huu, wanaweza wakatu surprise kwa kubeba ndoo, wana timu iliyo kamilika kila idara na kocha mwenye mbinu,

Msimu huu wa moto sana
Spurs Hana hizzo mbio, Spurs kaanza na timu dhaifu,, Safari hii soton anashuka daraja

Subiri mech 5 Kwanza uone Spurs ana huo ubavu , mpira wake Ni wakuvizia Sana, sio timu ya kutawala game ,

Wanakutana na Chelsea ambaye anacheza Sana ila hafungi,

Hiyo game Chelsea ana asilimia kubwa akatawa mchezo akapigwa ,sababu Spurs Ni mviziaji tu.

Mm naomba droo au Spurs achezee kipigo , Chelsea bila forward pumzi itakata mapema sana
 
kwangu mimi nasema ni mapema sana kusema spurs atachukua ligi,ila tukubali kwa mara ya kwanza toka nimeanza kumfahanu totenham naona mwaka huu wanakikosi cha ushindani wa hali ya juu mno.
ni makosa kusema atachukua ubingwa na ni makosa zaidi kusema hawezi kuchukua ubingwa.
wana front three ya hatar mno pengine kuliko team yoyote ile(in my view).top four sio priolity kwao kwan kwa uwekezaji walioufanya nawaona wakiwa ni title contanders.
ila pamoja na yote ni muhimu zaidi kujua kwamba ndani ya soka baada ya kukamilisha vyote ndani ya uwanja na nje ya uwanja pia unahitaji na BAHATI.
Msimu huu liver na city wajiandae kisaikolojia kwani watashangazwa mno kwa matokeo watakayokuwa wanakutana nayo viwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…