Naona PARTEY na Tierney na kwa mbali Tomiyasu wanakuja na lile gundu la kina Wishere, Rosicky, Ramsey, Van Persie, Diaby na Cazorla la kuandamwa na majeruhi ya Mara kwa MaraKipindi kile Carzola alikua ana tugharimu sana akiumia tu Msimu unaishia hapohapo
Sahiv upepo umeamia kwa Partey so tunahitaj mbadala wake incase yakitokea yasitukute
ila itakua poa Kama ata stay fit whole season, tutatisha..
Mimi ni big fan wa torreira sema ndo ivyo tenaOleksandr Zinchenko has taken the number 35.
Lucas Torreira has been removed from the Arsenal website. #afc
WEWE Ni timu gan nikuletee ya mashabiki wenu wakifanya vitukoMishabiki ya Nyumbu unaziona zinaakili?
Hao Newcastle wana kipi cha ajabuMsimu huu Kuna kivumbi
mancity, liver, spurs, Chelsea, Arsenal, Man utd, Newcastle
Nyasi zitawaka..
Ok. Nilidhani anacheza RCM. Vipi kuhusu ukabaji wake? Nasikia yuko vizuri katika chenga na kupika nafasi za magoli ila je atasaidia kupress, kukaba na kutrack back? Naona uzoefu wa zincheko left back utamsaidia akishindania nafasi na xhaka ambae pia anauzoefu left back. Tielemans sijui kama atatupa hiko ila kwa timu za kupaki basi atasaidiaTielemans anacheza LCM mkuu. Mbadala wa Partey nakubaliana nawe coz nimeona Lokonga akichezeshwa LCM in preseason, labda akishift pale itaachia nafasi kwa mchezaji mpya kusaidiana majukumu na Partey. All in all, Tielemans ni muhimu kuwa naye haijalishi nafasi yake yupo Odegaard au nani, Youri Tielemans huu utakuwa usajili wa karne.
Arsenal tuna midfielders wengi ila kwa LCM tunakosa mtu mwenye uwezo wa kucheza between the lines, Xhaka amekosa hiyo sifa, pia inaonekana sio press resistant so hata kwa build up hakupi 100%, kama tusipomsajili Tielemans naona in time, Ø atashift to LCM, Fabio vieira atachukua RCM.Ok. Nilidhani anacheza RCM. Vipi kuhusu ukabaji wake? Nasikia yuko vizuri katika chenga na kupika nafasi za magoli ila je atasaidia kupress, kukaba na kutrack back? Naona uzoefu wa zincheko left back utamsaidia akishindania nafasi na xhaka ambae pia anauzoefu left back. Tielemans sijui kama atatupa hiko ila kwa timu za kupaki basi atasaidia
Bila kuwasahau Westham na Wolverhampton.Msimu huu Kuna kivumbi
mancity, liver, spurs, Chelsea, Arsenal, Man utd, Newcastle
Nyasi zitawaka..
Mi ni mkereketwa wa Arse888, Asenale dam dam. nipe vituko vyetu.WEWE Ni timu gan nikuletee ya mashabiki wenu wakifanya vituko
WEWE Ni li chelwowo?Mi ni mkereketwa wa Arse888, Asenale dam dam. nipe vituko vyetu.
Ni ngumu arteta kumleta mbadala ya partey mwenye kukaribiana na uwezo wake na kumpata sio rahis, Elneny yupo japokua mfumo ua una switchKipindi kile Carzola alikua ana tugharimu sana akiumia tu Msimu unaishia hapohapo
Sahiv upepo umeamia kwa Partey so tunahitaj mbadala wake incase yakitokea yasitukute
ila itakua poa Kama ata stay fit whole season, tutatisha..