Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Mahrez kaongeza mkataba mpaka 2025 ,..naona city ndiyo timu ya kufanya nao biashara. Tuwacheki pia kuhusu mahrez kumpa competition saka. Labda pia na ball-playing keeper wao na kdb watuuzie pia.
Arteta Ni mwanafunz wa pep, anafata nyayo zake,Mahrez kaongeza mkataba mpaka 2025 ,..
Kdb ni legend ,ni mtu pekee aliyebaki kwenye kikosi Cha Manuel Pellegrin Cha 2015 ,baada ya kutoka sterling na frenandihno...
Arsenal inaenda kuwa man city B ...
Tungeweza kupush for Title runs ila Thomas Partey akiumia the whole system collapses, nakubaliana na mshikaji aliandika humu tunahitaji DM mwenye ubora wa kucheza lone pivot kama Partey, Lokonga atakupa kila kitu ila hana uzoefu kwenye elite level.Mikel anaweza kutumia 4-3-3 na 2-3-5/3-2-5 in possession
Ujio wa Zinchenko unairuhusu Arsenal kutumia inverted full backs wawili ambao ni Tomiyasu na Zinchenko. Ambapo katika 3-2-5 Tomiyasu anaungana na Gab pamoja na Ben huku Zinchenko aki invert na Thomas katika kuunda double pivot na Zinchenko huku Adv 8's wakiwa katika half spaces
Katika final third Arsenal wanatumia mfumo mmoja sawa na Barca, Man City ambapo Saka,Mahrez,OD wote wanatumika kama isolation wingers katika kutafuta 1v1 na katika left wing Arsenal hutumia combinations kutengeneza triangle namna Ile Ile City na Barca wanatumia katika vilabu vyao
Mpira umebadilika na hivyo majukumu ya wachezaji. Winga sio kupiga krosi/kulisha kama zamani wanapaswa kufunga na kutengeneza. Mimi binafsi naona katika structure mpya ambayo Mikel atatumia, anaweza kuwatumia viungo ku attack spaces kama City wanafanya kwa wings/8 ktk final third
Nafikiri anahitajika attacker mwingine lakini sio pure ST pengine labda RW pamoja na RB kwa sababu ya ku manage dakika za Saka kumuepusha majeraha pamoja na ku deal na majeraha ya mara kwa mara ya Tomi na sio lazima dirisha hili hata January na uzuri wa Jesus anacheza RW, LW, ST
Na hata kama Jesus akipata majeraha ya muda mrefu Arsenal wanaye Martinelli ambaye anaweza kuziba pengo kwa kipindi fulani, na Mikel anaweza kubadilisha mfumo kuendana na wachezaji waliopo. Ku adapt katika nyakati ngumu ndicho kinachokufanya kuwa elite
Blueprint is there, quality players are there, the process is over, the club needs results, Mikel Arteta is growing into a tremendous manager and he has a bright future ahead.
Ligi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.Mikel anaweza kutumia 4-3-3 na 2-3-5/3-2-5 in possession

Kapambane na Timu yako mbovuLigi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
Gide wewe ndio umeongea jambo la maana sana, Arteta sio kocha wa kuipeleka timu kwenye ushindani wa makombe.Arteta msimu huu kapewa kila anayemhitaji,akishindwa kutupa tunachokihitaji tumtakie kila la heri aendako
Nasema hivi ,mtajichanganya TU Safari hiiLigi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
Losers talk like thisLigi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
Yaani hakuna aliyefurahia ushindi ila mmefurahia na kujadili performance ya timu