Nyie Arse888 mnakuaga na mikakati mikuuubwa mtafikiri mna bonge la timu, msimu ukianza chaliii. Halafu ni kila msimu ni hivi hivi, ndio mana nawaonaga kama kidogo zimeyumba.
Mbona mnawashwawashwa humuUkisikiliza mikakati yao tu unajua kabisa hapa dishi limeyumba.
aseeeee uyu mtu acheni tu aseeee
Mbona unateseka na watu wamekupuuza, WEWE utakuwa nyumbuAliyewaroga nyie arse888 mungu anamuona.
Ila wanangu wenyewe wa AsaniWali msimu huu mmemsajili mpaka Yesu lazima mchukue makombe yote, tena mtabeba mpaka kombe la dunia pale QatarMbona mnawashwawashwa humu
mie waswas wangu ni izo nafas nyingne bt upande wa winga ata tusiposajiliUnavyosema tunahitaji backup ya mgalhaes
Inamaana white na saliba hawawezi kumaliza pale?
Kuna game nakumbuka tomiyasu alicheza 4/5
Mimi naona pale nyuma tunaweza kuwatumia wale wale, technically zaidi na mambo yakaenda
Akija zinny
Kiungo mkabaji
Kuhusu Winga tunaweza kuvuta January
He is the next Van dijk, haters gonna hate thisFrom a young fan, to playing for his boyhood club. It’s great to see William Saliba finally part of the Arsenal family!
Ni genuine mkuu?Anayetaka huu uzi anicheki inbox
25,000 Tzsh