Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Kufurahi ni kama kawa maana nilishakukabidhi kadi ya uanachama wa GUNNERS na ukaipokea kwa mikono miwili. Tutashinda tu leo usiwe na wasiwasi labda kama hao WB wawe wamekunywa maji ya uzima maana naona dalili za kuanza kuchanganyikiwa katika defence yao tukiendelea kuwapa pressure basi tutashinda tu.
Ohhh!!!! senksi very much....ngoja nitafute kiwalo cha kutokea..LOL
Huyu wa ngapi?
Kloro kumbe na wewe ni mshabiki wa mpira?? dah, Hebu tabiri score line?
mkuu wewe ukipangiwa na ze goonerz kuanzia februari onward basi una asilimia 80 ya kuondoka na tatu mkobani au at least moja. acha wes brom wakusibitishie hili leoHuyu wa ngapi?
Kloro kumbe na wewe ni mshabiki wa mpira?? dah, Hebu tabiri score line?
hehehehe utakuwepo au unaondoka?hahaha......ukweli upi huo sasa?
Mhhhh! weye tena kwa viwalo! Viwalo vyako siku zote ni moto wa kuotea mbali!
Mhhh!!!!! subiri upate surprise usiyoitegemea...LOL
hehehehe utakuwepo au unaondoka?
Hahahahahahaha unataka kuja na baibui KH? LOL!
Nimepata mwaliko toka kwa BAK...so ntaondoka....π au ulikuwa uliwazaje?
sasa nikisema nilichowaza hapa BAK si ataripoti abyuzi? , BAK akilog out nitakutafutaNimepata mwaliko toka kwa BAK...so ntaondoka....π au ulikuwa uliwazaje?
Siri yangu hiyo....sasa sijui utanirudisha nikija na usichokipenda??!!!!
sasa nikisema nilichowaza hapa BAK si ataripoti abyuzi? , BAK akilog out nitakutafuta
Mhhhhh! haya kama ukivaa baibui na kuacha macho tu basi naweza wala nisikushtukie kama yule pale ni KH. Sitakwazika lakini ukiona sijakutambua nishtue π
sasa nikisema nilichowaza hapa BAK si ataripoti abyuzi? , BAK akilog out nitakutafuta