Na wewe hutaki assign???Nketiah ana sign contract ya 5 years Arsenal
Nimefikisha taarifa kama ilivyoNa wewe hutaki assign???
huu si uamuzi wa hovyo kabisa huu?Nketiah ana sign contract ya 5 years Arsenal
huu si uamuzi wa hovyo kabisa huu?
FACT bro umemaliza kila kitu daily this is my message hawa fans wa kizazi cha kubana suruali au mens kuvaa skintight wanaona europa ni achievements sisi ambao tumekula mihogo na viazi vitamu tunawashangaa mno they don't know how those teams zilivyokuwa miaka ya 90s and 2000s kila wakija humu wanaandika pumba ohhh Gunners ni sisi ohhhh Europa ni achievements kwa Arsenal motherfucker*******Ila kiukweli hizi team Arsenal na Man utd inabidi zijitafakari hazistahili kuwa mahali zilipo ni team kubwa sana Uingereza,uwekezaji mkubwa unatakiwa ufanyike na rebuild iwepo ya maana sio rahisi kwa msimu mmoja tu kurudi tena kwenye peak.
Imefika kipindi sasa mashabiki wa hizi team wameshakuwa wanyonge wanaona kucheza Europa ni kitu cha kawaida mathalani man United walivyofurahia kucheza Europa, mashabiki wa Arsenal wanafurahia kumaliza ndani ya top 4 na si kuwaza ubingwa tena kama zamani, imagine spurs anamaliza juu ya Arsenal kwa misimu 6 then ukiangalia Spurs wenyewe hamna la maana wanalofanya
Arteta apewe muda hata misimu miwili mingine apewe fungu la kutosha
Pia hizi team zijitahidi kugawana point na team kama Liverpool na Man City
Liverpool au City wana uhakika wa kupata point 6 kila msimu kutoka kwa Arsenal na Man U
Me naamini mpaka leo Arsenal ni team kubwa kuliko Chelsea, walichokosa ni UEFA tu
nketiah anaimprove game after game na ametubeba sana baada auba na laca kuwa droped.Oh My God!!! Arsenal persuading Nketiah to stay with 100k/week offer.. unless we get another world class striker
FACT bro umemaliza kila kitu daily this is my message hawa fans wa kizazi cha kubana suruali au mens kuvaa skintight wanaona europa ni achievements sisi ambao tumekula mihogo na viazi vitamu tunawashangaa mno they don't know how those teams zilivyokuwa miaka ya 90s and 2000s kila wakija humu wanaandika pumba ohhh Gunners ni sisi ohhhh Europa ni achievements kwa Arsenal motherfucker*******
Nketiah ana sign contract ya 5 years Arsenal
Kaka unamakes jokes ujue huyu Nketiah wa game 2 au 3 kisha anapotea ni wa nini?ana muda gani Arsenal na amefanya lipi la maana?katolewa kwa Mkopo kote huko hakuwa na jipya Arsenal ni timu ambayo haipo serious kwenye football na hii yote inatokana na owner kutojua what is footballnketiah anaimprove game after game na ametubeba sana baada auba na laca kuwa droped.
kuna kuinvest kwa aina mbili linapokuja suala la wachezaji katika soka.ni either uinvest katika QUALITY au POTENTIQLITY ya mchezaji.
Nketiah bado hajawa finished product kwa maana ya quality ila kuna promissing potential ambayo tukiiacha aondoke nayo tutapata shida.
kwa straika ambaye anakuofer 10+ goals in a season, salary ya 100k ni reasonable
Nashukuru, mkuu.Mkuu, nakushauri kama hupendi dharau na kejeli, ignore this guy. Huyu jamaa ni matokeo ya vijana either wanapitia magumu katika harakati zao au ana malezi mabovu.
Wanakuchimba wenzakoFACT bro umemaliza kila kitu daily this is my message hawa fans wa kizazi cha kubana suruali au mens kuvaa skintight wanaona europa ni achievements sisi ambao tumekula mihogo na viazi vitamu tunawashangaa mno they don't know how those teams zilivyokuwa miaka ya 90s and 2000s kila wakija humu wanaandika pumba ohhh Gunners ni sisi ohhhh Europa ni achievements kwa Arsenal motherfucker*******
Wanamfanya mpumbavu na yeye alivyo mpumbavu kweli anaingia tu kichwakichwa ππππWanakuchimba wenzako
Huyu wenzake wanamfanya MapenziWanamfanya mpumbavu na yeye alivyo mpumbavu kweli anaingia tu kichwakichwa ππππ
Wanamfanya mpumbavu na yeye alivyo mpumbavu kweli anaingia tu kichwakichwa
nketiah.,hakuna striker pale mkuu. Naelewa amejiboresha lately lakini mastriker bora zaidi wapo mamia na maelfu tunashindwa kumpata mmoja? Maoni yangu binafsi ni dogo hawezi kuwa top top top quality striker hivyo tulete anayeweza. Si tungemuacha tu asepe tulete quality kushika nafasi yake, tungepungukiwa nini? Tunasema tuna shida ya wage bill kuwa kubwa, halafu nketiah tunamlipa 100k/week. Naona tunakosea sana.Bado kuna room ya kuongeza ma striker wawili kumbuka Auba Hayupo na laca anasepa pia deal la Nketia halijaaribu kitu
hii ndo inaleta zile panic buyKwanini hatujasajili mpaka leo? Does that mean hatukua tunajua nini tunataka?