Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo pesa kubwa ndo pesa gani?
Ndugu yangu ni kwamba hujui au tu unataka ubishi?

Umesahau 'Summer' transfer ya Arteta ambapo alifanya sajili sita kwa kutumia mamilioni ya Euros? Timu gani ilifikia kiwango hiki cha usajili uliofanywa na Arteta?

✓Ben White: £50m - from Brighton.
✓Martin Odegaard: £31.5m - from Real Madrid.
✓Aaron Ramsdale: £25m - from Sheffield United.
✓Takehiro Tomiyasu: £17m - from Bologna.
✓Albert Sambi Lokonga: £16m - from Anderlecht.
✓Nuno Tavares: £7m - from Benfica.

Sasa Arteta apewe pesa kiasi gani? Hizo pesa alizomwagiwa zimetoka wapi kama sio kwa kina Kroenke? Sasa hapa shida nani? Pesa kapewa, na timu kaikutia Europa na kairudisha tena hukuohuko Europa.
 
Ben Mweupe,Air Ramsdale,Odergard,Super Tomiyasu no usajili ambao umeclick vzr kwa upande wetu kama arsenal

•Ben Mweupe-solid defense partnership with Big Gabi
•Air Ramsdale-Third in most premier league football behind Allison and Ederson
•Odergard-Most assist in our squad with some crucial goals

•Bad lucky kwa 2 signing zetu Tavares and Lokonga
•We were depending on Auba to bring Goals ila yakatokea yaliyotokea

Next summer transfer tutatumia pesa nyingi pia na haijalishi tutamsajili nani

Sisi kama Arsenal "We trust in our own Process"

Labda tu nikuambie hiyo pesa aliyotoa kroenke kwa ajili ya usajili haitoshi kwa process yetu tulinayo na ndio maana still tunampa lawama coz kroenke this transfer ameandaa £500milions
 
Tulia fala wewe, i will find you and fvck you and your mother.
Karibu, naishi Mbezi Beach, Africana, mbele ya Kwa Mamunyange, ulizia kwa Mollel utafika, ipo karibia na Bar ya Macha, acha porojo za keyboard. Njoo ms*ng wewe.
 
Mkuu, hoja kwamba Arteta alipewa pesa kubwa kuliko wenzake katika signings tumekubaliana?
 
Mkuu, hoja kwamba Arteta alipewa pesa kubwa kuliko wenzake katika signings tumekubaliana?
Hii nilishawahi kuelezea humu.

Mfano dirisha la January Newcastle ni miongoni mwa waliotumia pesa nyingi, why? Coz ana kikosi dhaifu kwa muda mrefu unlike baadhi ya timu so ni given yeye kuimarisha kikosi kwa kutumia pesa kuliko ambao walijiimarisha for years.

Mfano Arsenal tumetumia pesa nyingi dirisha la msimu uliopita lakini kabla ya dirisha hilo tumekua miongoni mwa waliotumia pesa nyingi mara ngapi?

Hilo dirisha City alinunua mchezaji mmoja kwa 100M na Chelsea kwa 90M while Arsenal katumia 100M+ ila kwa zaidi ya mchezaji mmoja. Na ukileta bigger picture zaidi ya dirisha la kiangazi utaona Arsenal haipo katika hiyo reli.
 
Karibu, naishi Mbezi Beach, Africana, mbele ya Kwa Mamunyange, ulizia kwa Mollel utafika, ipo karibia na Bar ya Macha, acha porojo za keyboard. Njoo ms*ng wewe.
Ok I won't fvck you because of this, i dont like average hoes. Gooners, see the type of Men who pee sitting down.
 
Ok I won't fvck you because of this, i dont like average hoes. Gooners, see the type of Men who pee sitting down.
Yes, gooner, I bet you are among of these fellas down here that now you cant even distinguish your a**hole from your mouth, they just resemble.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…