Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Oya we computerarsenal ndio unasemaga Arsenal haina uwezo wa kuattract big players, This is Arsenal, umbwaaaaa.
I'm not trying to offend anyone lakini tuongee ukweli tu kuja kwake Arsenal sio kwamba Arsenal ameweza attract big stars kuja kwa kipindi hiki.

Ni kwa sababu Jesus hana sababu ya kubaki City ambapo anakula mkeka. Guardiola anaona bora acheze na Foden (false 9) kuliko kucheza nae. So jamaa hana option nyengine ukiangalia ndo kwanza ana miaka 25.
Hili deal halina tofauti sana na deal la Willian na David Luiz from Chelsea. Was very easy!

Ni ushawishi wa Edu kwa wabrazili, uhusiano wake hapo nyuma na Arteta bila ya kusahau hana other option ndio mambo yatakayomfanya aje.

Lakini hakuna star mkubwa ambae hataki kucheza UEFA. Kama kweli Arsenal walikuwa na uwezo na ku attract big stars katika hiki kipindi kigumu, basi wasingeshindwa kumsajili Vlahovic, Aouar, n.k.
 
Has worked with pep and arteta and has epl experience. Replacement poa kwa laca. Nketiah tutamreplace? Au martinelli anatosha?
 

Nilichokuuliza hujajibu hata kimoja Bali umeamua kutumia Matusi na Kejeli kama Kinga Yako ya Kujihami.

Kiufupi umeonesha Inferiority complex.

Endelea kupayuka
 

Ukweli ni kwamba anamkimbia Halaand
 
kumbuka Gabriel anacheza namba zote tatu mbele, sio #9 pekee. Bado ni muhimu ndani ya man city, imetokea kwa Ferran Torres na Leroy Sane, wakati mwingine mtu anavutiwa na project & uwezo wa kocha. Miaka mitatu nyuma sidhani kama kuna mchezaji angefikiria kutoka Man city kuja Arsenal whatever the case.
 
Tunaongea mpira kwa kuangalia fundamentals bro, wewe wa kusubiri timu ishinde ndio uongee au uone ubora wa timu kupitia matokeo mimi sio wa namna hiyo.

Hivi vitu ndio vinatupa confidence ya kuongea, hizo mechi tatu unazosema tulifungwa zipo humu kwenye hizo namba, angalia Xg inasemaje, tunaangalia mpira thru project over results

Over the last five matches:

Arsenal (6.91) 2-8 (4.46) Opponents
 
Xg lengo lake ni kutupa insight of the overall team's performance, na timu nyingi siku hizi zina data company, Expected Goals don’t show the ‘true’ result. But they provide a clearer view ofthe game. Kwa average fan, timu iliyoshinda ndio bora kuliko iliyofungwa, total B.S

In football Analysis Wengi wanaangalia Xg kutrack ubora wa timu in every aspect of the game,so there is no need to panic if results doesn't show up while the team’s Expected Goals pointed tomuch better performances than the true results suggested coz in time things will fall alright

kumbuka Dortmund 2014/15, hivi klopp system ilikuwa worse kiasi icho? au Dortmund walikosa wachezaji wazuri? Je Liverpool walikuwa wajinga kuhire kocha aliyetaka kuishusha timu daraja? Ipo wazi Liverpool reseach's team waliangalia xg over results, Klopp japo alikuwa na worse results ila Xg number zilimbeba kupata kazi.

So Xg is about calculatingprobabilities with the help of mathematical models.

Kwa professional gamblers kuna kitu wanaita signal’ and ‘noise’. signal ni zile useful information(Xg number).
Noise ni kinyume cha signal, data that doesn’t tell you anything (results). So hatuwezi kuignore matokee ya mwisho wa mchezo ila ukiangalia kiundani they are just noise, coz binafsi kwenye mpira naamini kuna bad lucky / good lucky. Mfano kufunga goli thru individual silly mistakes / last time winner thru set pices..

So Arteta's Arsenal kuna watu wanajudge kwa kuangalia results wengine wanaangalia project, unakuta mtu anasema kuwa na akiba ya maneno, akiba ya nini wakati vitu underground vipo wazi.
 
project has to yield results in a foreseeable future (not more than 2 years), not to be kept waiting indefinitely, inundated with nude promises. What startles many is lack of consistency eg where we are expecting to pick points - we give them away ( Brighton, Southampton, Crystal palace). Thruthful, UCL and Europa is still 50/50

Data is not everything, sometimes they lie, that is why gamblers are fixed often times.
Let's pray - we get results today,
 
Do you think Arteta ataondoka?the Answer is No because Kroenke hana muda na Football yeye ana deal na Superbowl huko USA na mambo ya Farasi as long as anapata profit kupitia Arsenal kwake hilo sio tatizo so Arsenal ina more than 18 years hana EPL Arsenal ana more than 66 years hana Champions
league unahisi atajali?Angalia Big teams zikifanya vibaya owners wanavyohangaika kutaka positive results sasa ulivyo mjinga unaona its OK kwa Arsenal kuwa middle team instead of big team huu ndio ujinga ulionao na baadhi ya fans kama wewe hutaki achievements unataka kumuona Arteta ambaye hana mbele wala nyuma stupid
 
FACT BRO
 
akili kubwa(Big IQ)
 
"Trust the process" If not,find somewhere else.Just simple
 
@Aaron Arsenal sometimes unatakiwa uwe serious bro hivi Jesus ana miaka mingapi EPL?ameshawahi fikisha 10 goals per season?Jesus hana utofauti mkubwa na kina Lukaku Arsenal inahitaji forward wa uhakika wa kuscore 20 goals per season kama Auba Van Persie hivi nani ana deal na Recruitment team pale Arsenal?hao watu watakuwa ni VILAZA sijawahi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…