computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kwani tulivyomfunga Spurs hakuwa timu kubwa ?sio Big 6?Si ni wewe ulikuwa unakataa kwamba arsenal si lolote kwa kuwa hajapata matokeo kwa timu kubwa au umesahau mpaka uletewe arguments zako tena?
Sikiliza we dogo hizo timu ulizotaja zipo serious na Football na hata recruitment team yake ipo serious inawezekana kukawa na makosa madogo madogo but sio kama Arsenal ambayo pia ni one among the best famous team in the worldakija Owner mwingine ataanza na team nzima upya kabisa Arteta ni kocha wa kufundisha Everton Southampton Crystal Palace but If Arsenal inataka kuachieve mambo mengi ni lazima team ipate kocha mwenye EXPERIENCE anayejua michuano ya ulaya ipoje anayejua kumanage Big and stars players ili apate mafanikio (Arteta yote hayo hana) nimeongea sana haya but yanajirudia na yanaonekana Arsenal ingekuwa na kocha mwenye EXPERIENCE leo angekua top 3 for example ameicost sana Arsenal hasa kwenye squad selection yote hyo hajui ampange nani na kwa wakati gani(kwa akili yako timamu Lokonga na Elneny nani anafaa aanze?)yapo mengi sana ya kuprove uwezo wake bado bado kujiunga 2020 sio kuwa sijui football️ nimechoka kuongea ongea kuhusu Arsenal ya sasa but kiukweli team yetu bado bado mfano kwa sasa narudia hakuna players ambao wanajitambua watakuja kuwa chini ya Arteta na mfano Mkubwa ni Dusan alitukataa mchana kweupe akaenda Juventus (licha pia sio Big player mkubwa kihivyo)but Arsenal akaikataa so Arsenal progress yake ya kuja kuwa Big team ni kuanza upya kwa kuanzia na owner mwenyewe ambaye anakula faida kwetu then achievements 0 tukutane May 22 nimechoka kuongea frequently kuhusiana na Arteta na Arsenal nzima
Arsenal this season hakuwa na any European competition but angalia results zinazopatikanika hazisomeki kabisa na now on tunaelekea kuikosa top 4 position
Rudia kusoma, nimeandika watu wanasema Arteta hashindi big matches, so nauliza hizo mbili alizoshinda ni ndogo?, shida yenu mihemko mingi mnajudge vitu kwa matokeo bila kuangalia uhalisia.Uko too arrogant mkuu, unaujua mpira ulicheza hadi level gani mzee? Tunasema Arsenal ana poor record against top teams, wewe unayejua mpira endelea kutoa arguments zako "zenye mashiko"
Yupo anaflex na hypernegativity, hakosagi kasoroNdg yako computerArsenal hataki kuja ili aseme kama Chelsea ni ndogo au kubwa?
Wewe ni box I repeat ni bichwa boxYani unanita Dogo lakini waulize wanaonijua King Ngwaba hapa JF watakwambia wakati Nafunga Ndoa kwa mara ya kwanza Nina uhakika Babayako ndiyo kwanza yupo Sekondari huko anamwagilia Bustani.
TURUDI KWENYE MADA:
1) Pep Guardiola aliposhinda Makombe Barcelona ya Ndani na Yale ya Ulaya alikuwa na Uzoefu wa Miaka mingapi?
2) Mauricio Pochetino alikuwa na Uzoefu Mkubwa zaidi kwenye EPL na CL kuliko Klopp lakini kwanini hakuwahi kushinda hayo Makombe badala yake Klopp kashinda yeye?
3) Kwanini Pochetino aliyeshindwa kupata Kombe lolote akiwa Spurs anafanikiwa kushinda akiwa na PSG?
Nijibu hayo Maswali 3 bila ya kuzunguka ili tujue kama Uzoefu/Experience ina nafasi kwenye Mpira au ni Qualities ya Wachezaji ndiyo yenye nafasi kwenye mbinu za mwalimu na mafanikio.
Unaajiita Insigne wakati timu yako Napoli tulia dogo sisi ndio Arsenal damu unajiskiaje Arsenal hana EPL trophycomputerarsenal ni bora atuachie timu yetu kuliko yeye anavyotaka Arteta aondoke kwenye timu
Huyu Dogo ni kirusi
@HENRY14 bro we are in the same ideas kabisa labda tunaweza tofautiana machache tu but tujiulize Arsenal hii ambayo for more than 18 years haina EPL na ChampionsKutofautiana maoni ni kawaida ingawa wote tunataka mafanikio ya timu yetu pendwa. Mimi na computerarsenal tunafanana sana maoni ingawa mimi labda niko optimistic zaidi. Ukiona anakosa imani na kocha ni kwa sababu kocha kampa sababu ya kukosa imani. Mfano arteta hajaweza kumaliza juu ya emery alipoacha. Ukiacha timu kubwa, tumepigwa sana na timu ndogo pia. Tukumbuke pia tulitolewa fa cup na kitoto cha chekechea kabisa. Kwenye mbinu mimi namuona bado yuko nyuma ingawa wapo wanaomuelewa kuliko mimi. Kwenye man management naona bado yuko nyuma ila hayo ni maoni yangu tu. Mwisho wa siku always namtakia mafanikio maana ni kocha wa timu yangu na mimi nataka timu yangu ishinde.
Kwa kumtetea sasa...
Matatizo yetu naamini ni zaidi ya kocha. Pep alisema kocha wa top level hana muda wa kuimprove wachezaji hivyo anahitaji complete player ama mwenye juhudi binafsi kuimprove kupitia extra sessions na kocha etc. Je board inampa wachezaji anaohitaji? Je uongozi umeweza kufanya biashara vema na kuingiza hela ili wachezaji wazuri waletwe? Lately tunatumia pesa nyingi kununua wachezaji wa kawaida na sio top. Baadae tunashindwa kuwauza kwa faida au wanaondoka bure. Raul sanlehi kmmk na ufisadi wake. System ilikuwa mbovu na bado mbovu.
Commercial partnerships zetu zina tija kweli? Sijui visit rwanda sijui vikampuni vya bia na kahawa vina tija kwa level tunazotaka kufika? Wanaohusika idara hiyo wanamanufaa kweli? Manutd bonge la brand bado licha ya madhaifu uwanjani. Kwa nini sisi hatujakua kama brand zaidi? Someone is responsible for that. Are they doing their job?
Academy je vipi? Mbona hawatoi top class talent kuja kuingia 1st team? Kwani hawajui standards za world class players? Saka, esr, nketiah. Ukiacha unaedhani anastahili kucheza arsenal je watapata number liverpool ama chelsea. Iwobi anafanya nini everton na willock anafanya nini newcastle.? Gnabry angalau but alisepa muda na alienda bonge la timu. So academy imeproduce nini cha maana lately?
Haya mambo yanacompound na yanaaffect mambo uwanjani.
So arteta pamoja na mapungufu yake, makosa yake yanakuzwa na vitu vingine kibao tusivyoviona. Computerarsenal amefika hatua ya kusema kroenke ndo shida. Hajakosea. Pessimism yake inamfanya aonekane kama anatamani arteta ashindwe atambe ila sidhani kama ni hivyo. Mkimsoma kwa utulivu na open mind naamini mtaona jamaa ana hoja.
Akili kubwa sana Bro unajua what is footballKutofautiana maoni ni kawaida ingawa wote tunataka mafanikio ya timu yetu pendwa. Mimi na computerarsenal tunafanana sana maoni ingawa mimi labda niko optimistic zaidi. Ukiona anakosa imani na kocha ni kwa sababu kocha kampa sababu ya kukosa imani. Mfano arteta hajaweza kumaliza juu ya emery alipoacha. Ukiacha timu kubwa, tumepigwa sana na timu ndogo pia. Tukumbuke pia tulitolewa fa cup na kitoto cha chekechea kabisa. Kwenye mbinu mimi namuona bado yuko nyuma ingawa wapo wanaomuelewa kuliko mimi. Kwenye man management naona bado yuko nyuma ila hayo ni maoni yangu tu. Mwisho wa siku always namtakia mafanikio maana ni kocha wa timu yangu na mimi nataka timu yangu ishinde.
Kwa kumtetea sasa...
Matatizo yetu naamini ni zaidi ya kocha. Pep alisema kocha wa top level hana muda wa kuimprove wachezaji hivyo anahitaji complete player ama mwenye juhudi binafsi kuimprove kupitia extra sessions na kocha etc. Je board inampa wachezaji anaohitaji? Je uongozi umeweza kufanya biashara vema na kuingiza hela ili wachezaji wazuri waletwe? Lately tunatumia pesa nyingi kununua wachezaji wa kawaida na sio top. Baadae tunashindwa kuwauza kwa faida au wanaondoka bure. Raul sanlehi kmmk na ufisadi wake. System ilikuwa mbovu na bado mbovu.
Commercial partnerships zetu zina tija kweli? Sijui visit rwanda sijui vikampuni vya bia na kahawa vina tija kwa level tunazotaka kufika? Wanaohusika idara hiyo wanamanufaa kweli? Manutd bonge la brand bado licha ya madhaifu uwanjani. Kwa nini sisi hatujakua kama brand zaidi? Someone is responsible for that. Are they doing their job?
Academy je vipi? Mbona hawatoi top class talent kuja kuingia 1st team? Kwani hawajui standards za world class players? Saka, esr, nketiah. Ukiacha unaedhani anastahili kucheza arsenal je watapata number liverpool ama chelsea. Iwobi anafanya nini everton na willock anafanya nini newcastle.? Gnabry angalau but alisepa muda na alienda bonge la timu. So academy imeproduce nini cha maana lately?
Haya mambo yanacompound na yanaaffect mambo uwanjani.
So arteta pamoja na mapungufu yake, makosa yake yanakuzwa na vitu vingine kibao tusivyoviona. Computerarsenal amefika hatua ya kusema kroenke ndo shida. Hajakosea. Pessimism yake inamfanya aonekane kama anatamani arteta ashindwe atambe ila sidhani kama ni hivyo. Mkimsoma kwa utulivu na open mind naamini mtaona jamaa ana hoja.
Kwa hiyo 2/8, 1/4, 25% ni matokeo mazuri kwako. Basi it's okay mkuuRudia kusoma, nimeandika watu wanasema Arteta hashindi big matches, so nauliza hizo mbili alizoshinda ni ndogo?, shida yenu mihemko mingi mnajudge vitu kwa matokeo bila kuangalia uhalisia.
Huyu jamaa hajielewi Mkuu atakupotezea muda ERoni anampenda sana Kroenke na Arteta wakati hawa watu ndio wanaishusha Arsenal yetu kila kukichaKwa hiyo 2/8, 1/4, 25% ni matokeo mazuri kwako. Basi it's okay mkuu
Licha ya timu yetu ya Arsenal haisomeki tomorrow game vs Manchester United points 3 ni must kufungwa na Manchester United ni aibu tulipata aibu ya kwanza but for tomorrow we must win no draw at all weekend itakuwa tamu sanaArsenal vs Man United
Muda saa 8:30mchana.
Kwenye kufukuzia ndoto yako Kuna kitu kinaitwa"invisible effect spam" huu Ni ule muda ambao utakuwa hauwezi kuona kwa waziwazi matokeo ya kile unachokifanya.. ingawa huwa haimaanishi kuwa hakuna kinachoendelea.
Ukweli Ni kwamba hatakama kwa nnje huoni kinachoendelea chini ya udongo jua kuwa mbegu huwa inaendelea kukuwa na kutoiona inavyokuwa haimaanishi kuwa haikui .
Bado sisi washabiki hatujalijua hili. Tujue kabisa kuwa tuko kwenye kipindi Cha mpito. Tuko kwenye kuiotesha mbegu ardhini.. hakuna mtu au timu yoyote itakayotuelewa kwa Sasa .. wakati utafika wote tutakubali na tutajionea matunda ya hichi kinachoendelea...
Arsenal tuna kikosi kizuri. Tuna wachezaji chpkizi na mwalimu kijana . Tuko katika nafasi ya tano tukilingana point na Spurs tofauti ikiwa Ni magoli tu.. mechi hii kwetu Ni mechi muhimu Sana . Kuifunga man United kwangu Ni furaha isiyo na mfano. Naiona Arsenal ikipata matokeo mazuri na mabao ya kutosha.
Tusife moyo. Tuwe na matumaini. Wakati mzuri unakuja . .
ARSENAL TOGETHER