Hawataki kuambiwa ukweli hawa.
Sasa hivi wataanza kukuporomoshea matusi, kukudhihaki na kukutukana.
Wanapenda kuambiwa maneno matamu matamu tu.
Ukitaka wasikuone msaliti we jitoe ufahamu kama wao ndio utaenda nao sawa.
Nakuonea huruma sana
computerarsenal kuwa na mapenzi na hii timu.