Katika mechi tano za mwisho mlizokutana Arsenal walibahatika kushinda mechi moja tena baada wachezaji wengi wa crystal palace kuugua.
MUNGU aendelee kubariki kazi ya miguu ya Wilfred Zaha.
Tupunguzage makelele humu Arsenal yetu inafahamikaga that's it kuna fans muda wote wanaropoka utafikiri Arsenal wameijua Jana if leo tukafungwa unategemea ukashinde kwa Big teams harufu ya damu inanukia kwetu oh God