Kocha wa Brighton anarepresent wakina Arteta. Game anayoweza kupata ushindi anajaribu mifumo, anajaribu watu.
Amekua akishinda kwa 3 4 3 na Lamptey anakua ndani, ati akacheza 4 3 1 2 halafu Lamptey kamuweka benchi.
Ikanikumbusha game yetu ya Europa, Arteta akajaribu 4 3 3 (false 9) na 9 yenyewe akamuweka Pepe. Nafikiri tulicheza na Villarreal.
Spurs alikua wa 7 na ana viporo 3, amecheza viporo 3 sasa hivi ni wa 8, squad should return the favour kilichotokea in our first meeting.