Mbu..
Umekuwa mzalendo kweli kwa kuitetea na kuipenda Arsenal, mpaka raha yani!
Haina ubaya mkigawana vikombe na Man Utd. Mshinde jamani,sipendi kuwaona vijana wakilia lia maana burudani uwanjani mmnayo ila vikombe viko wapi? All the best dhidi ya Man Utd.
Mimi sina presha, timu yangu ni Polisi Dodoma, ha ha!..
Djourou Na Almunia wataboost idara ya ulinzi kwani Kolo akicheza na Djourou wanakuwa best partner kuliko ilivyo sasa. Gibbs apumzike ni beki mzuri ila utoto wake unamfanya ashindwe kufit presha ya game kubwa kama tulizocheza na zinazokuja mbele yetu so 1. Almunia 2. Sagna 3. Silvestre 4. Djourou 5. Kolo. Tumuombe Mungu Asitokee jeruhi ...
...ha ha haaaa....'janja ya nyani eeeh!'
~mie iko kisha ng'amua upande wewe nasimamia~
...kuna mahala niliona umeteleza ulimi ukasema;
"...sie (Man U)...!"
Kama wewe Police Dodoma, mimi CDA au Waziri Mkuu Dodoma!!! (unazikumbuka team hizo?) 😀
Si unajua kujifanya nipo sipo kumbe wapi!..Mimi nashabikia timu inayoshinda,...
Mimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,...
...hamjiamini 😀 ha ha haaaaa....
...Belinda unashabikia Man U...!
"Robin van Persie out of Arsenal's Champions League game with Manchester United
Arsenal's Dutch striker Robin van Persie has been ruled out of the club's Champions League semi-final first leg against Manchester United."
~IKUMBUKWE, HUYU MHOLANZI NDIO MWIBA MKALI KWENYE NGOME YA MAN U KILA TUKIPAMBANA NAO!!!~ 🙁
Kwani Liverpool hana game ngumu ,ana mechi na West HAM ugenini then mechi ya mwisho anacheza na SpursMimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,ukiangalia staili ya mchezo wa Arsenal na staili ya Man utd,amini amini nawaambia mwisho wa Mashetani wekundu umefikia CL.hata akicheza Silvestre kwenye defence kama Arseanal atacheza mpira wake tuliouzoea ataenda final ila mkijichanganya na nyie mkataka kutumia short cut kupata magoli mmekwisha,kumbukeni yaliyowakuta Wembley j'mosi,mlifungwa kwa ajili tu mliacha staili ya mchezo mliyoizoea.ila nilikuwa natamani sana nikutane na hao mashetani huko Rome ili tuwashikishe adhabu.
Mancherster ana game mbili ngumu za league ,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi ya ubingwa kama Man wakijikwaa kwenye hizi mechi 2, hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
Ni Mtazamo wangu ambao una ukweli mkubwa ndani yake.
Shearer yupo haitashuka. zitashuka wba, mido na hull ama blackburnMy dear friend mimi nipo nawe,inaa maana hujui(kidding)
Umelenga!
timu yangu nyingine inashuka daraja,ha ha ha!So sad kwakweli
Mimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,ukiangalia staili ya mchezo wa Arsenal na staili ya Man utd,amini amini nawaambia mwisho wa Mashetani wekundu umefikia CL.hata akicheza Silvestre kwenye defence kama Arseanal atacheza mpira wake tuliouzoea ataenda final ila mkijichanganya na nyie mkataka kutumia short cut kupata magoli mmekwisha,kumbukeni yaliyowakuta Wembley j'mosi,mlifungwa kwa ajili tu mliacha staili ya mchezo mliyoizoea.ila nilikuwa natamani sana nikutane na hao mashetani huko Rome ili tuwashikishe adhabu.
Mancherster ana game mbili ngumu za league ,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi ya ubingwa kama Man wakijikwaa kwenye hizi mechi 2, hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
Ni Mtazamo wangu ambao una ukweli mkubwa ndani yake.
game ngumu moja tu na wigan basi, zingine mwaaaa mwaaaaa tu; kombe lishaena!
Arsenal vs Middlesbrough
Arsenal;
Manuel Almunia
Emmanuel Eboue
Kolo Toure
Mikael Silvestre
Kieran Gibbs
Theo Walcott
Cesc Fabregas (c)
Denilson
Samir Nasri
Andrey Arshavin
Nicklas Bendtner
Substitutes;
Abou Diaby
Bacary Sagna
Carlos Vela
Alex Song
Johan Djourou
Lukasz Fabianski
Emmanuel Adebayor
...Hivi Eduardo kapotelea wapi?
ushindi ni ushindi tu iwe kwa msaada wa macheda, refa, linesman et al, poouwa kabisa.Yep, with the help of refs ubingwa ni wenu. Tukiachilia yale ya jana, nimeiangalia ile gemu ya Portsmouth goli la 2 najitahidi kujiconvis kuwa Giggs hakuwa offside lakini nimeshindwa..