Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna wenzetu wengi humu hawajui mpira.

Tuendelee tu kuwafundisha hivi hivi kidogo kidogo.
 
Tena alipokuja na baadhi ya mambo ambayo mimi najua ndio nguzo ya mafanikio kwenye field yoyote ile hapa duniani (management) ndio nikazidi kumkubali na kwa sasa huniambii kitu.

His management style ni si mchezo. We are talking about "NON NEGOTIABLES "

Sidhani kama kuna makocha zaidi ya watano duniani ambao wanamzidi Arteta kwa uwezo sasa hivi.
 
Wana finisher mzuri Toney na wana Mbuemo anayejua kukimbizana na defense.

Sisi tukaenda kumiliki mpira wao wakaja kutafuta magoli.

Anyway, nafikiri Wolves yupo kwenye form kipindi hichi kuliko Brentford so naona tuna matumaini.
Ukizingatia pia game hii itapigwa Emirates
 
Neves alichoamua kusema akiseme ila kuna tofauti ya matarajio ukiwa wolves na ukiwa Arsenal. Ukiwa Arsenal kila point tatu zina kazi ya kutufanikishia mission. Mission ya Arsenal ni top four.

Ningependa kumsikia pia baada ya mechi na norwich
Haikunishangaza maana nimeona ni dalili ya kuwa Arsenal fan, huwezi kufuatilia team 10 years consecutive games kama sio supporter wa timu husika.
 
150 ya last window imeishia wapi!? Tumeokota dagaa tu na team bado inateseka
You can't be serious mkuu.

Tumeokota dagaa kwa Odergard?? Kwa Ramsdale?? Kwa Ben white???

Tell me you were joking, or rather you just have so much hatred for Arteta.

Kamuangalie Maguire huko wa 80M, Ramsdale ni kipa wa 70M au kuzidi maana ndio watu walilipa kwa kepa. Ordergard ni namba 10 ambae will cost you not less than 40M kwa dunia ya sasa. Tavares ni back up ya kuaminika kabisa mkuu.
 
Timu inateseka! Duh kweli hypernegativity haiwezi kuisha kwa mafans wa hii club. Lakini sio mbaya tutaelewana tu cha msingi Mikel Arteta tunaye.
Wenzetu are so negative aiseeee duh!
Yaani tulipotoka, tulipofika na tunapoelekea watu wanajitia upofu ili tu wasimamie misismamo yao???

Mimi pia nilikuwa against Arteta lakini nimeona kinachofanyika.

Hii timu ipo kwenye muelekeo wa mafanikio aiseee
 
Agiza pepsi hapo nakuja kulipa
 
Tuko sawa sawa Mkuu kwa sehemu karibia zote ila hapo Kwa Tavares hapana, hakuna backup ya uhakika pale, inabidi akaze buti sana ili kutuaminisha Kwamba yeye ni backup ya maana

Ana mawenge sana kiasi Kwamba ata kutuliza mpira shida,kutoa pass tabu,ku dribble kasheshe, Kila akishika mpira anakuwa hajui ata afanye nini Kwa Muda gani

Labda kama alikuwa Mzuri huko alikotoka ila kwa Arsenal bado sana hajaonesha kama ana deserve kucheza Arsenal, ana kazi ya ziada ya kuifanya ku prove uwezo wake
 
Kama kuna group la arsenal adimin mniunge...jaman
Huku niliko mtandao upo chini jf kufunguka ni issue.
0716601783
 
Wakati tunamchukua Ben white na Aaron Ramsadale,Arsenal haters walitushambulia kwa kutuambia kua hatupo serious na trophies.

mashabiki wa utd walienda mbali sana wakasema Ben white haiingii hata theluthi kwa Rafael Varane na kudai kua tumepigwa hela ndefu.

Mwishowe leo wote tunaona kazi ambayo White anapiga huku akilipwa £120k tu kwa week.Huku wao Varane akikunja £340k kwa mpira usioonekana.

Kwa ramsadale pia maneno yalikua mengi sana.
 
Mpira wa Leo ni kweli unahitaji pesa must-win titles. Lakini tulichojifunza in the past 7-8 years ni kwamba it's not only about money.

Sometimes it's about having a right coach/manager.

It's about mentality.

Mifano ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…