Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuhusu red ya Martinelli.

Wakati mtu anarusha mpira akawa anamzuia asirushe, nafikiri refa aliona inahitajika kua yellow ila akaacha advantage kwakua mpira ukatua kwa mchezaji wa wolves.

Martinelli akamkimbilia mchezaji wa wolves na kufoul akitokea nyuma. Kwa kawaida hii ni faulo na inawarranty yellow.

Kuna scenario nyingi za wachezaji wa timu nyingine kucheza rafu kutokea nyuma na inapita bila yellow. Mfano mechi ya juzi na alichofanya Pogba.

Pia kwa kua mpira uliachwa uwe advantage na sasa yeye kaonekana anauchukua siyo kwamba ilibidi refa arudishe faulo pale mwanzoni aliporuhusu advantage? I mean hata angeamua faulo iwe pale sehemu ya pili bado kuna sehemu angeweza acha isitoke yellow na isingekua tatizo.

Hata hivyo namshukuru kwa kuruhusu goli letu ingawa kipa alikua ameshaukosa mpira ila Laca ni amepiga mkono wa kipa. Angeweza kutukazia ila hajafanya hivyo.
 
Stop condoning bad behaviour, ni aibu wachezaji kupewa red (2022) kila tunapocheza. Kocha lazima aondoe tabia ya timu kuonekana kama ya kihuni.
Wewe umekariri kila red card inapotoka ni mchezaji ndio mwenye kosa, red card zingine ni kwamba referee anataka kufix match, Nimeona kwa mwandishi mmoja kwamba Arteta anataka kuongea na FA kuhusu decision za hii mechi.

Swali ni kwamba, How can you get two yellows for the same sequence of play?
 
Neves alichoamua kusema akiseme ila kuna tofauti ya matarajio ukiwa wolves na ukiwa Arsenal. Ukiwa Arsenal kila point tatu zina kazi ya kutufanikishia mission. Mission ya Arsenal ni top four.

Ningependa kumsikia pia baada ya mechi na norwich
 
Angalau kuna improvement kwenye defence, taratibu atatengeneza striking force nzuri. Kumbuka tulikuwa chaka la kupigwa nyingi.
 
beki wangu huyu, namkubali sana ,mwanangu wa kiume mwez wa 7, nimepanga kumuita GABRIEL
Hongera sana mkuu. Of course nitashauri kuwa mtoto akiuliza jina lake limetoka wapi mwambie limetokana na yule malaika ambaye pia kuna mchezaji umempendaye ambaye amepewa jina hilo 😀😀😀
 
Aaron Ramsdale is milking clean sheets this season. "Relegation goalkeeper" they said. Hahahaha
Naona kama ligi ina makipa watatu hivi wa maana. Wakwanza ni De Gea. Aisee bila yule jamaa Man Utd wangepotea sana. Wapili ni Lloris. Watatu ni Ramsdale.
 
Nakupinga katika hii observation yako kwamba akili ya Arteta ni ulinzi mtupu.

Arteta ndiye kamtrain Sterling na Sane kwenye role zao kama wings.

Arteta kamtoa Pepe RW na kumuweka LW ambapo alionyesha improvement kabla ya kujipatia red ya kijinga.

Arteta pia ndiye kaonyesha dira anataka timu ipate matokeo kwa mtindo gani na usajili wa watu kama Ode, Ben White, Ramsdale na Tavares umebase katika kusaidia ushambualiaji zaidi.

This means hashambulii kwakua hana wachezaji anaowataka ila so far Arteta ni mzuri kuzidi makocha aliowahi kufananishwa nao Ole na Lampard. Bila resources za maana ameweza kutransform timu.

Bila resources za maana ametransform defense iliyowahi semwa haifundishiki.

Kuna siku nilikuambia kinachombakisha Arteta ni takwimu za timu as a whole so mzoee tu. Relief Mirzska hakumkubali jamaa ila over time amemzoea.
 
Next game ni Brentford, kumbuka hawa walitupiga tatu takatifu day one
Wana finisher mzuri Toney na wana Mbuemo anayejua kukimbizana na defense.

Sisi tukaenda kumiliki mpira wao wakaja kutafuta magoli.

Anyway, nafikiri Wolves yupo kwenye form kipindi hichi kuliko Brentford so naona tuna matumaini.
 
Naona kama ligi ina makipa watatu hivi wa maana. Wakwanza ni De Gea. Aisee bila yule jamaa Man Utd wangepotea sana. Wapili ni Lloris. Watatu ni Ramsdale.
Kabla ya mechi ya jana kipa wa Wolves save 68 Ramsdale 56.

Jana ilikua ni wapinzani wamekutana.
 
Nasubiria pia siku utakayomuomba msamaha Arteta kwa dhambi hiyo hiyo hahahaahahha.

Japo kimoyomoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…