Sasa unakataa nini hujalazimisha kocha acheze 4231?, ebu soma hapo ulipoandika sijui una option...Sasa Partey asipocheza na mid ikipwaya ni kosa la nani?
Kutolewa kutaka. Una options kwanini usizitumie? First game you posed a threat with 4 2 3 1 leo unaenda na 4 1 4 1 huku DM Lokonga ambaye game ya ligi na Liva alifanya mistakes za goli.
So hapa tutafute mchawi nani wakati kila kitu kipo wazi? Edu na Arteta wameharibu timu na kutoa wachezaji bila kuleta wapya kwa wakati. Mechi za ligi zitaanza huku hakuna mchezaji amesajiliwa.
My nigga nilipoint Partey aanze ili ichezwe 4 2 3 1 so shida iko wapi?Sasa unakataa nini hujalazimisha kocha acheze 4231?, ebu soma hapo ulipoandika sijui una option...
Hehehe we jamaa bwana. Labda ungesema dirisha likifungwa utatoa comment ila kwa hiki kikosi unajiona upo top four?
Kikosi finyu. Means uombe kusiwe na kadi wala majeruhi.Mkuu top 4 mnaingia, acha uoga,raundi ya kwanza mmemaliza vizuri japo mlianza vibaya sana.lakini Baada ya kila timu kucheza na kila timu mkawa top 4 pale,inaonesha timu yenu ni nzuri.matokeo ya sasa hivi ni utofauti wa ratiba tu mwingine anapewa mechi ngumu mwingine mechi Za kawaida lakini mwishoni kina eleweka kama ulibaki ndani ya top 4 baada ya Mechi 19.
Unaweza kuona timu inaongoza Saizi lakini kuna timu bado hajacheza nazo akicheza kila mtu anarudi kwenye nafasi yake.
Chelsea wako wapi leo walioongoza ligi kwa point 4 mbele, baada ya mechi 19 yaani raundi ya kwanza walikuwa wameachwa point 7 na man city.
Kikosi finyu. Means uombe kusiwe na kadi wala majeruhi.
Usajili utatoa picha pana zaidi
so what?
Mlevi hyo acha naeHivi huwa mnawaza nini mkiandika huu upupu arsenane fans. Yaani leo unasema Chelsea hajapata kitu kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili!!! Yaani huyu bingwa wa UCL unasema hajapata kitu!!!
comment kwenye page ta arsenal maybe wanaweza kusikiliza maoni na kuyafanyia kaziBye bye Martinelli View attachment 2091317
Past time nilisemaga hawa watoto tukienda 2 seasons in a row bila trophieszozote au hata kuqualify kwenye champions league tutakuja kukimbiwa Klopp keshaanza kuongea si mara ya kwanza anamtaja Martinelli and then Saka na Smith Row watatajwa na Pep baada ya hapo wanasepa process inayosemwa ya kujengwa timu inaanza upya reason kubwa wataona why wanapoteza muda Arsenal wakati board na Management kwa ujumla hawapo serious na Mpira let's wait and enjoy the game
Board na Management wana dharau sanacomment kwenye page ta arsenal maybe wanaweza kusikiliza maoni na kuyafanyia kazi
22 games for 20 games?
Hivyo viporo unacheza na nani?22 games for 20 games?anyway ligi ishakuwa ngumu tukifanya makosa tena tutaongea lugha tofauti rasmi