Hivi vitu ni vizuri ungekuwa unasupport na data, tafuta stats unaweka sio hearsayKatika games za Everton ambazo watachezewa low block Dom anakua mzururaji. Pia hua naona hana pace, hana vision ya passing na hawezi kukaa na mpira. So ni agewe mpira ascore, ni kama Tammy huyu jamaa.
Niliachoandika ni kitu ambacho nimekiangalia kwa msimu mzima. Hua natafuta data kwa mchezaji ambaye sijamuona akicheza, ila Dom na Tammy ni wachezaji ambao sidhani kama wanafaa Arsenal.Hivi vitu ni vizuri ungekuwa unasupport na data, tafuta stats unaweka sio hearsay
Kweli DCL hana ball retention?
Kweli DCL hana pace?
Profile yake tunahitaji anaweza asiwe na quality ila ana profile inayofit structurally.Nimetoka kuangalia videos youtube kwa baadhi ya wachezaji walioorodheshwa kwenye list huko nyuma.
Nimemuona huyo Bruno Guimares wa OL, kiukweli hapa tukisajili tutakuwa tumepigwa na kitu chenye ncha kali maana mpaka unaona mchezaji youtube hakuvutii ujue hakuna kitu. Huyu jamaa hatasolve chochote, ni bora tubaki na Lokonga wetu.
Hapo kwa Vlahovic ni SUPERB! Nilivyokuwa nikimuangalia youtube imenikumbusha sana kipindi kile tulivyokuwa na Van Persie maana jamaa ni muuaji akitumia mguu wake wa kushoto.
Arsenal hatuhitaji ST afunge japo kufunga ni ziada, tunahitaji ST wakufanya tuplay our game, laca hafungi ila timu inashinda 3/4/5Niliachoandika ni kitu ambacho nimekiangalia kwa msimu mzima. Hua natafuta data kwa mchezaji ambaye sijamuona akicheza, ila Dom na Tammy ni wachezaji ambao sidhani kama wanafaa Arsenal.
Kama una data zinazoonyesha Dom ana magoli kuzidi forward za Arsenal, pace na retention ya kumzidi Auba (ambaye sasa hivi hatusaidii) zilete nijifunze.
Sasa nimesema unionyeshe hizo data umezileta bila hata kunitag si unajua inakua ngumu kujua kama umeleta bila hata kunimention?Hii hapa EPL wanakuonesha which team tends to go long most of the time, angalia Arsenal tulipo, we tend to go long most of the time to bypass the first line of pressure maana yake kigezo kikubwa kwa ST mpya Arsenal anatakiwa aweze kuwin duels either ground / aerial .
DCL hawezi kuwin duels ?
DCL hawezi kulink play ?
Mtu anasema confident kabisa DCL isn't a perfect suit for this Arsenal team, basi mtu unashangaa tuView attachment 2074355
ST ambaye hafungi ila anakurahisishia mchezo siyo Dom, Everton akipigwa low block Dom hua haonekani. Arsenal hua tunastruggle pia tukichezewa low block so whats the point kumleta mtu ambaye huko alipo anastruggle na same issue?Arsenal hatuhitaji ST afunge japo kufunga ni ziada, tunahitaji ST wakufanya tuplay our game, laca hafungi ila timu inashinda 3/4/5
Auba ana retention ipi mkuu ya kumzidi DCL ?
Dont watch football by your eyes all the time, sometimes you need to look at stats.
Hiyo comment wala sio kwako mkuu, niliweka kwa watu kuelewa kocha anataka ST wa aina ipiSasa nimesema unionyeshe hizo data umezileta bila hata kunitag si unajua inakua ngumu kujua kama umeleta bila hata kunimention?
Hoja zangu zilikua hizi hapa;
Dom hana pace, hawezi kukaa na mpira na hana vision katika passing.
Ukasema nije na data. Nikajibu nimengalia games zote, nikaomba uje na data umekuja na data za kuwin duels aerial na ground, deals ambazo mimi sijazisema.
Ukipata muda jaribu kuangalia mechi siyo highlights, unavyoshangaa ninavyoona Dom hafai ndivyo nashangaa unavyoona anafaa it's natural kutofautiana, swala la Dom halitakua la kwanza tulitofautiana kwa AM na usajili wa CM.
I insist nimeangalia games za EPL msimu uliopita na Dom kwangu mimi hana tofauti na Connolly.
Am not crazy. Kama umechoka sema tuishie hapa.Kama unataka kucheza na false 9 (Arteta anavyotaka) means ST awe anadrop off the back line in very often to aid build up, maana yake touches zake nyingi ni outside of opposition box and still you want him 20 G/A per season, are you crazy?
Ni sawa unalaumu Firmino hafungi kuliko Salah & Mane bila kuangalia Structure inamtaka afanye nini.
Well in such a case am so sorry sikujua kama hainihusu.Hiyo comment wala sio kwako mkuu, niliweka kwa watu kuelewa kocha anataka ST wa aina ipi
Siwezi kutafuta data kudisprove hoja yako, hiyo kazi ulitakiwa ufanye wewe kusupport unachokisema vinginevyo itaonekana unaArgue kihisia.
Kwanza unatakiwa ujue kuna methods nyingi za kuunlock low block kama hiyo ndio hoja yako, sio mchezaji mmoja ndio anafanya timu nzima istruggle na Arsenal sio Everton kuanzia profile hadi qualityST ambaye hafungi ila anakurahisishia mchezo siyo Dom, Everton akipigwa low block Dom hua haonekani. Arsenal hua tunastruggle pia tukichezewa low block so whats the point kumleta mtu ambaye huko alipo anastruggle na same issue?
ST kama Laca wa kupress non stop, kusaidia wengine kuscore siyo Dom wala Tammy au Greenwood ni Boulaye au Isak kwa mbali. In fact ni bora umpe namba Balogun kwenye low block kuliko Dom
He is a fox like Torres was, but a modern football demand will make him struggle, sometimes in this modern football especially if you have weak Midfielders, you need a striker who can hold it upfront and let others come and contribute to your attack, his physique does not support that.COMMENTS TO DCL BY HIS PREVIOUS MANAGERS
Sheffield United staff Keith Briggs and
Neill Collins reacted positively about Calvert-Lewin, including his attitude, while Chris Short described him as "football mad and a special talent."
Manager Nigel Clough said of him: "He's a big lad who is good technically for the stage he's at and he's going to win headers against anybody",
While manager Nigel Adkins described Calvert-Lewin's impressive performance in a training session: "He took the ball with his back to goal, controlled it and popped an overhead kick straight in the top corner. Brilliant stuff."
Carlo Ancelotti suggested Calvert-Lewin has all the qualities to be a top striker: "He is fantastic with the head, clever in the box and sharp. I think he is going to be at the top in England and in Europe."
Suala la kukaa na mpira nakubali. Ila kwa vile tuna Saka na Martinelli ambao ni ball keepers wazuri, mimi nlidhani tukipata goal getter itakuwa poa sana.Katika games za Everton ambazo watachezewa low block Dom anakua mzururaji. Pia hua naona hana pace, hana vision ya passing na hawezi kukaa na mpira. So ni agewe mpira ascore, ni kama Tammy huyu jamaa.
Ball retention capability yake mimi pia naweza kumuelewa castr kiasi but pace nakataa.Hivi vitu ni vizuri ungekuwa unasupport na data, tafuta stats unaweka sio hearsay
Kweli DCL hana ball retention?
Kweli DCL hana pace?