Arsenal wanahitaji kutulia kwenye suala la Striker, kama wanatoa 70m wasirudie makosa yaliyotokea kwa Nicolas Pepe .The striker options Arsenal are currently looking at…
1) Alexander Isak (22)
2) Patrick Schick (25)
3) Jonathan David (21)
4) Dominic Calvert-Lewin (24)
5) Ollie Watkins (26)
6) Dusan Vlahovic (21)
7) Ivan Toney (25)
If you could only sign one this month, who are you choosing?
Prone InjuryJoao Felix ni false 9 mzuri pia anatajwatajwa, inaonekana huyu bei imechangamka kidogo.
Mzee alikiwa namna nyingine ya jiniazi. Kuna wakati unaanangalia vikosi vyake unajiuliza alikuwa anawezaje kuviweka pale juu miaka mingi vile!?Hizi tetesi zinaweza kwenda hivi hadi January 31st. Ilikuwa inaboa sana kipindi cha Wenger.
City nao wanamtaka Haaland, other options Isak / kane / Vlahovic meanwhile Arteta anatafuta foward wa kushindana na City.
We can pull off this safely. Apewe project imshawishi kujiunga nasi inatoshakama ni kweli hapa tumeliwa za uso
Bruno Guimares, naona anatrend sanaMikel Arteta has all but confirmed that Arsenal will sign a new central midfielder this January
Hii ni safari ya KalaMashaka itakuwaBruno Guimares, naona anatrend sana