Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nikusaidieje-By Proffesa JayHuyu ana uchungu na timu kama mimi kuliko wewe mamluki
Ni sawa na Mmanisiti akauliza Cancelo wa nini wakati kuna Walker!?Sasa coutinho wa nini?
Akija tutajua Edu ana ajenda na wabrazil wanaoelekea kukosa Kazi, (Luiz, Willian na sasa Coutinho)Sasa coutinho wa nini?
Cancelo na Walker si namba mbili tofauti hawa?Ni sawa na Mmanisiti akauliza Cancelo wa nini wakati kuna Walker!?
Sijaelewa maana ya CP.Akija tutajua Edu ana ajenda na wabrazil wanaoelekea kukosa Kazi, (Luiz, Willian na sasa Coutinho)
Aangazie vitu vya msingi,
Team ina mahitaji makuu matatu aubwalau Mawili
1. Reliable CP
2. Reliable CDM au Combination ya Viera-Gilberto / Viera-Petit kwetu kwa sasa iwe Mould ya Partey- kama box to box aje fold yake ya kuziba mwanya anapopandisha Team.
Kwa sasa ni hayo tunahitaji.
Kisha team iachwe ikue na kukomaa pamoja, hizi chalii za Akina Lukonga zijifunze kutoka kwa wakubwa na wanapofikisha umri wa 24 wanakuwa wameiva na tayari kuchukua Majukumu,
Team ikiwa na Mihimili ya aina hii ninrahisi sana kuongeza watoto wa kuja kuzoea, maana wakati wanazoea kuna makosa watakuwa wanayafanya na yatazibwa na hiyo miamba kati. With time wanaishia kujifunza from their past mistakes.
Team ikikosa hiyo mihimili daima vijana watakuwa wahanga wa Kudumu, pamoja na Uzuri wa Xhaka katika passing range alikosa wakubwa wa kumwongoza kwenye makuzi yake ndio maana leo anaendelea kufanya makosa kwenye team yenye gharama kubwa sana. Na bahati mbaya team haijajifunza n kijaribu kununua huo uzoefu kutoka nnje, badala yake wanawekeza kwa watoto tena. Na tumeona watoto wamefanya nini, Nuno na Lukonga kila mmoja ametuonesha uwezo wake lkn pia kila mmoja tumeona namna alivyo suspect wa makosa tukiwa under pressure
CP typo CFSijaelewa maana ya CP.
Ila kwa sasa mi naona tunahitaji mid kariba ya Rosicky na ST.
Akili yangu inaniambia Folarin na Nketiah siyo wabaya lakini hawana consistency so kuwasubiri ni mtihani. Arsenal ya vijana kuna namba 6 too bad jezi zao hazina majina, dogo ana pumzi, dirty worker ila hapati kadi, wangempa namba huyu atrain na wakubwa kisha aingie mechi za carabao na FA
Vlahovic is simply a fool, huwezi kukataa project ya Arteta, unless kuna Club imeshaingia naye precontract agreementhalafu naona kabisa arsenal watamchukua huyu na sio dusan, susan yule pemben,hachez,link up play,hold up kama za laca hafanyi,yule ni finisher zaidi,
And of course binafsi napenda tulete a top CM kabla ya ST, as for now tuna Lokonga ,Xhaka inawezekana tukasajili CM this window, bring Bruno G.Arsenal & Roma are pressing to get the Ainsley Maitland Niles completed urgently. These are “hectic but decisive” hours.
The clubs are willing to complete the loan immediately & discuss option/obligation in the coming months. Loan fee has increased to 500k.
@DiMarzio
Vlahovic anaturingia ringia tuhamie kwa Isak tu kwanza ni mzuri zaidi kwenye hold up play and with Odegaard and Saka atafunga sana...Vlahovic is simply a fool, huwezi kukataa project ya Arteta, unless kuna Club imeshaingia naye precontract agreement
partey atakosa mechi 2 tu za epl, ya totenham na burney .... kama arsenal wanasubiri summer ndio wa splash money, kwasasa wamtumie hata ben white as CM, halafu CB acheze maghalhaes na holding,And of course binafsi napenda tulete a top CM kabla ya ST, as for now tuna Lokonga ,Xhaka inawezekana tukasajili CM this window, bring Bruno G.
Kabisa aisee, ni ngumu sana mchezaj kukataa project inayoonekana kwa sasa ni tofauti na kabla ya ligi aijaanza, naiman hata locatell, ingekua ni sasa fasta angesema yesVlahovic is simply a fool, huwezi kukataa project ya Arteta, unless kuna Club imeshaingia naye precontract agreement
Tatizo linakuja wapi mzee Aaron Arsenal kwamba Vlahovic ana killer instinct, he can guarantee you 20 goals per season nadhani paka sasa ana goli 16 kama nitakuwa sawaVlahovic anaturingia ringia tuhamie kwa Isak tu kwanza ni mzuri zaidi kwenye hold up play and with Odegaard and Saka atafunga sana...
isak hata kutokea pembeni anaweza, yupo vzr kwenye hold up na link up play, dusani typical ni NO.9 ,NI FINISHER zaidi, left footer,hawez kutokea pembeni, isak ni prime aubamayang kabisa, for me nilipowaangalia twende kwa isak,
Locatelli the baller, huyu mtu angekubali paka sasa top four ingekuwa uhakika.Kabisa aisee, ni ngumu sana mchezaj kukataa project inayoonekana kwa sasa ni tofauti na kabla ya ligi aijaanza, naiman hata locatell, ingekua ni sasa fasta angesema yes
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
sijui kwanini nimeanza kuingia wasiwasi na dusan, nikikumbuka yaliyomtokea pepe, dusan ameanza kuwika huu msimu wa pili,Tatizo linakuja wapi mzee Aaron Arsenal kwamba Vlahovic ana killer instinct, he can guarantee you 20 goals per season nadhani paka sasa ana goli 16 kama nitakuwa sawa
Isak ni mzuri kwa hizo link & hold up play but he lacks goals, Arteta anachokiona nadhani anaweza kumfundisha vlahovic kulink up play ila hawezi mfundisha Isak kuscore goals,
Yaani Vlahovic ni rahisi kumrekebisha kuliko Isak sababu kufunga kwake it comes natural.
Na tulimkosa Tammy kwa £32m last season kwa sasa bei imepanda labda Ivan Toney au DCL.