Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal imeshakua na mchezaji anaitwa Park. Mkorea
Nilisema mapema hapa, kina watu wanajua kutype tu na hawana la maana wanalijua, wana stiry za juu juu na wanaziweka hapa, ukiwapa fact kidogo tu povu zinawajaa na wanakimbia.

Kusema Park alikuwa manyua wakati tulikuwa na flop letu na huna habari juu ya uwepo wake inasema kila kitu kuhusu uvivu wa aliyepost kumkana Park.

Wazee hebu tumieni muda kidogo kusoma mkikuta vitu huvielewi.

Unagugo kidogo tu majibu yanakuja na wewe unakuja kuchangia Uzi kifua mbele.
 
Inabidi tuishi nao tu sasa tutafanyaje
 
Dah acha tu ninepigwa kizembe sana kuamini watu kiboya siyo mkuu
 
Aina noma bro, tunasonga mbele maisha yanaendelea aise.
 
Cc Kaveli alishawahi kumzungumzia Tania zake na kuna sehemu nliona ulimtilia mashaka ila nikapuuzia tu dah si ilikuwaje lakini huyu jamaa Ugumu wangu ni bonge la tapeli aise inabidi taarifa ziwafikie Mods sasa sijui namna ya kiwatag au ndugu Maxence Melo atusaidie namna ya kuwadhibiti ili wasiwaumize wengine.
 
Anzisha uzi.

Elezea tukio na uthibitisho tag na mods
 
OllaChuga Oc: nakubali man mimi nataka nijue tu hiyo maana ya Oc kwenye jina lako
 
Inabidi tuishi nao tu sasa tutafanyaje
Oyah, boy, huyo jamaa yako analia lia sana, yani me niingie Google kuangalia kama Arsenal ilishakua na mchezaji anaeitwa Park?
Jamaa pumbavu sana huyo


Nina mangapi ya kuyafanya, niyaache nimfuatilie Park alie cheza Arsenal?

Hivi angenielekeza tu kuwa ni kweli kulikua na taka taka inayoitwa Park pale Arsenal, angepoteza nini mshamba huyo?



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Usipanic sasa arif
 
Ume yumba mzee baba.
Huyo Park alikua mchezaji wa Man United.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kitoabu tulikuwa na flop wetu pale arsenal alisajiliwa 2011 ila mkataba wake mpk unaisha alikuwa kwa mkopo celta vigo na Watford

Ila kabla ya kuja kwetu alikuwa ST mzuri tu timu ya Seoul-South Korea na Monaco-France ila baada ya kuja Arsenal akawa big flop

Alikuwa anaitwa Park-Chu-Young
 
Nime kupata mzee baba.
Kabla ya hapo nilikua sijui kua Arsenal kuna mchezaji alipita pale alikua akiitwa Park.

Só nashukuru kwa kulifaham hilo.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…