Kweli kabisa bora sisi tumevuna mapemaaaaSisi tuna angalia mechi zetu, hao wengine watajua wenyewe. Kumbuka hao wengine hawaja cheza so hii ni EPL lolote linaweza kutokea.Aliye kuwa nacho na anaye tarajia kukipata ni watu wawili tofauti, sababu anaye tarajia anaweza hasipate.
Hakika Arsenal anastahili kupongezwa toka nafasi ya 20 hadi ya 4 wamepambana.
Game ya Sunderland haina ishu kwa sasa ni bora EPL Arsenal afight hard aqualify champions league it will be better kwa Arsenal kirudi hukoNext match is Tuesday against Sunderland EFL followed by Norwich EPL on Sunday
Ampumzishe Lacca, ili Martinell awe ST, japo namuona dogo akiwa vizuri kutokea wing, Lacca is good at holding up play and creating chances.kama kocha unafanyaje kuwafix Ø, ESR, Saka, Martinelli pamoja kwenye starting x1?
Smith na Odegaard wapokezane tuu.kama kocha unafanyaje kuwafix Ø, ESR, Saka, Martinelli pamoja kwenye starting x1?
Hawa watoto wanacheza vizuri kwa uepo wa Lacca,jinsi anavyowataabisha mabeki kwa matumizi ya nguvu hawa vijana ndio wanapata upenyo wakufanya yao.moja ya wachezaji muhimu zaidi kwenye timu ni LaccaAmpumzishe Lacca, ili Martinell awe ST, japo namuona dogo akiwa vizuri kutokea wing, Lacca is good at holding up play and creating chances.
Labda Laca asichezekama kocha unafanyaje kuwafix Ø, ESR, Saka, Martinelli pamoja kwenye starting x1?
Yeah!Smith na Odegaard wapokezane tuu.
Yes for now.Hawa watoto wanacheza vizuri kwa uepo wa Lacca,jinsi anavyowataabisha mabeki kwa matumizi ya nguvu hawa vijana ndio wanapata upenyo wakufanya yao.moja ya wachezaji muhimu zaidi kwenye timu ni Lacca
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mmeanza sasa...Raha ya watoto wengi wa kibrazil mpira kwao ni zaidi ya kufunga magoli tu, kabla ya kufunga goli anahakikisha anakutesa kwanza. Gabriel Martinelli might be the next phenomenon.
Tunaomba masweta kabisa huku Top 4 kuna baridi kali sana na pia tunaiomba serikali yetu sikivu iongeze ulinzi kwetu mashabiki maadui ni wengi sanaMmeanza sasa...
Huo ni Mpira ,Sio tongee.Sisi tuna angalia mechi zetu, hao wengine watajua wenyewe. Kumbuka hao wengine hawaja cheza so hii ni EPL lolote linaweza kutokea.Aliye kuwa nacho na anaye tarajia kukipata ni watu wawili tofauti, sababu anaye tarajia anaweza hasipate.