We binti umeacha kufuatilia mpira?MPIRA SIO BLAH-BLAH-BLAH KAMA ULIVYOANDIKA HAPA. MPIRA NI UWEKEZAJI. TUMIA PESA KUBWA CHUKUA WACHEZAJI WENYE KIWANGO.. ACHANA NA HAO WATOTO, ROWE,TIERNEY,SAKA, ETI NDIO MASTAA WENU. SERIOUSLY!!!!!
wew walikulamba 2 na aukuongeaHabari zako wanazo everton lakini
Wamekutana na wagonjwa wa corona halafu wanashangilia na kujisifu ujinga.Naona mmeokota dodo leo
Ongezea na Tierney, Ramsdale, Magalhaes, White, Tomiyasu, Tavares, Maitland NikesMartinelli, Saka, ESR and Ødegaard.
Our future , cherish them .
Good performance all round👏🏿
Si ndiyo vinabo wenzako wakasema kocha falawew walikulamba 2 na aukuongea
Sent using motorola 78
Hawa ndio watu tunaArgue nao mambo ya mpira kila siku, No wonder watu wanaoelewa mpira huwa wanakaa kimya kwa Fanbase ya aina hii, inatia aibu ukiwa shabiki wa aina hii.MPIRA SIO BLAH-BLAH-BLAH KAMA ULIVYOANDIKA HAPA. MPIRA NI UWEKEZAJI. TUMIA PESA KUBWA CHUKUA WACHEZAJI WENYE KIWANGO.. ACHANA NA HAO WATOTO, ROWE,TIERNEY,SAKA, ETI NDIO MASTAA WENU. SERIOUSLY!!!!!
Hawa ndio watu tunaArgue nao mambo ya mpira kila siku, No wonder watu wanaoelewa mpira huwa wanakaa kimya kwa Fanbase ya aina hii, inatia aibu ukiwa shabiki wa aina hii.
Wagonjwa wa korona mechi zao zimeghairishwa. Kinabo weweWamekutana na wagonjwa wa corona halafu wanashangilia na kujisifu ujinga.
Yaani hawa Ass akili zao wanazijua wenyewe.
Umeona nini na nini? Nimeishi Sae na MwakibeteKuna miji bongo hii utafikiri haupo Tanzania, labda upo Burundi au Malawi
Mbona kasema ukwelii? Uwekezaji unao fanywa na psg,Madrid,Bayern,Man city ndo chanzo Cha mafanikio Yao mpaka kufikia leoo.Bila uwekezaji pengine wasinge fika hapo walipo Sasa.Hawa ndio watu tunaArgue nao mambo ya mpira kila siku, No wonder watu wanaoelewa mpira huwa wanakaa kimya kwa Fanbase ya aina hii, inatia aibu ukiwa shabiki wa aina hii.
Ligi haijaisha,Usikutee Arsenal inashika nafasi ya 4 Kwa masaa kadhaaa pekee na kulia mpaka damu kuushika japo Kwa muda hiyo nafasi.We binti umeacha kufuatilia mpira?
Unajua Arsenal anashika nafasi ya ngapi? Ni ya nne.
View attachment 2049163