Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
anamuanzisha Odegaard badala ya Elneny. Elneny anaweza kuingia kama sub. Lokonga hayupo leo4-2-3-1 option ni pivot ya Elneny na partey, Elneny is likely to start ili tumzime yule mtoto wanamuita Gallagher
Wewe ni Mdogo ake Ambangile???Lokonga kaja kujifunza from the best na kumsucceed Partey baadae, midfield ya Arsenal ni pivot ya Partey & Xhaka, una swali jingine?
Kwa squad hii ilikuwa inakataa ESR kuwa kwenye pivot, nilijiuliza inawezekanaje ESR,Odegaard na Partey wakafit kwenye 4-2-3-1, naona finally Arteta kaamua kwenda na 4-3-3 ambayo wote wanafit kwenye triangle mid.anamuanzisha Odegaard badala ya Elneny. Elneny anaweza kuingia kama sub. Lokonga hayupo leo
Palace wazuri kwa kusustain pressure, kitu ambacho angeanza na Elneny na Partey angewaOverload kwenye midfield kipindi tunaAdapt defensive structure naingeleta urahisi kuwazuia ila Arteta anajua zaidi, ngoja tuone.It will be a tough game, Viera has changed the way Palace play, hawategemei Counter attack za Hodgson, wanapanga mashambulizi, kwa hiyo kiungo chetu Kina kazi kubwa ya kutibua mipango yao
Mzee baba, Mchezaji wako Matteo anatupa World class performance.. najiuliza atarudishwa au ndio atauzwa jumla? Saliba yeye kashaProve ni next level hana muda wa kujaribishwa😁😁
Bro, the same way tulivyojuta kumpoteza Serge nabry ndivyo tutakavyojuta kumpoteza Guendouzi for the next 10 years.Mzee baba, Mchezaji wako Matteo anatupa World class performance.. najiuliza atarudishwa au ndio atauzwa jumla? Saliba yeye kashaProve ni next level hana muda wa kujaribishwa😁😁
TrueAlot of blind passes, we need to score two more goals to be safe. Palace are relentlessly attacking us