Mi naamini computerarsenal akianza kua bize jukwaa la timu yake ya psg haya malumbano yatakata.computerarsenal na Will jr please stop what you are doing here. Mmekuwa mkiishi kwenye familia moja ya Arsenal hivyo sio sahihi kuendeleza malumbano.
Tumekuwa pamoja na hii timu miaka yote, hivyo tumeshiriki kuona mafanikio sawa sawa na matokeo yake mabaya ambayo sasa watu wameshindwa kuyavumilia.
Mpira ni furaha, ni burudani so let football lead us.
Arsenal forever 💪💪💪
Ni sahihi kabisaMi naamini computerarsenal akianza kua bize jukwaa la timu yake ya psg haya malumbano yatakata.
Pamoja mkuu.computerarsenal na Will jr please stop what you are doing here. Mmekuwa mkiishi kwenye familia moja ya Arsenal hivyo sio sahihi kuendeleza malumbano.
Tumekuwa pamoja na hii timu miaka yote, hivyo tumeshiriki kuona mafanikio sawa sawa na matokeo yake mabaya ambayo sasa watu wameshindwa kuyavumilia.
Mpira ni furaha, ni burudani so let football lead us.
Arsenal forever
Unajisikiaje?Weekend itakuwa poa sana km mnyama atakufa Leo na spurs afe kesho
Burrrrdaaaaanniiiiiiii kabisa mwamba........sema nna waswasi na kesho ..... Maana viherehere wote wamepigwa LeoUnajisikiaje?
Kupigwa kwa hao viherehere mashabiki wa Arsenal tumeponywa wiki nzima haijalishi tutapigwa au kushinda kesho, AMANI YA BURE HIIBurrrrdaaaaanniiiiiiii kabisa mwamba........sema nna waswasi na kesho ..... Maana viherehere wote wamepigwa Leo
Kabisa mkuu..... Kesho ht tukifungwa poa tuuKupigwa kwa hao viherehere mashabiki wa Arsenal tumeponywa wiki nzima haijalishi tutapigwa au kushinda kesho, AMANI YA BURE HII
Muacheni mshkaji hahahaahahaha.Mi naamini computerarsenal akianza kua bize jukwaa la timu yake ya psg haya malumbano yatakata.
Huyu ni mshabik wenu wa Arsenal.sema tu ana jazba na Arteta lkn moyon ni Gunner kufa kupona...anasema tu yy psg kujifarij na matokeo mabaya yakitokea.Muacheni mshkaji hahahaahahaha.
Huyu ni Gunners mwenye msimamo mkali
Ni habari njema sana.Wachezaji wote ni wazima kuelekea mechi na mtani wa jadi spurs.
Ni habari njema
Sisi wakongwe tunajua hizi mambo😁😁😁Huyu ni mshabik wenu wa Arsenal.sema tu ana jazba na Arteta lkn moyon ni Gunner kufa kupona...anasema tu yy psg kujifarij na matokeo mabaya yakitokea.
Man u ipi, hiii hii ya Bruno majogooRapper wa Tanzania aitwae Songa ameamua kuonesha kwa vitendo na msisitizo kwamba amehama kutoka kuwa Shabiki wa Arsenal na sasa ni Shabiki wa Manchester United ambapo kwa msisitizo ameachia na wimbo mpya kabisa unaitwa 'Nimehamia Manchester United"
Siku chache zilizopita Songa aliwaomba Mashabiki wa Manchester United kumpokea baada ya kuchoshwa na matokeo mabovu ya Timu aliyokua akiishabikia na kuipenda ya Manchester
Spurs lazima akae