Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal win hand cap

Nimeamua kugawa deal la pesa halali za kitanzania
 
Hali halisi ni kwamba Arsenal haina worthy players.

Edu amekiri hilo.

Mchezaji akitrain ipasavyo uwezo unaongezeka. Hawa kila siku wapo hivi this means ni wavivu ama hakuna anayejua mazoezi katika waliopo.

In 2016 Leicester iliingiza wachezaji wanne katika kikosi cha msimu. They just trained with ferocity and on the pitch they gave it all.
 
Kwa hii hii timu ya Mashoga ama?
Msimu sitashagaa mtu akipasuka 7 kutoka kwa arsenal

Tumedhihakiwa sana

Norwich huyu anaweza kupasuka ata 5

Man u nakunyosha nje ndani, points 6 nachukua

Chelsea round ya pili nakukaza 3, mdogo wangu tangu mvunje ungo mmekua na mdomo sana.
 
Wanangu arse8 nawaombea ushindi angalau ifute skendo yenu ya kupambana tope. Mshinde leo mazee
 
And we are here to stay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…