Ndugu zangu, Neema inafunguliwa....
Mswedish Billionea ndugu Daniel EK anajiandaa kupandisha dau la kunyakua Asernal kwa dili linalokaribia kuwa la Pound Billion mbili.... ambapo mwanzoni alishindwa kutanguliza kishika uchumba cha pound Million moja point nane kugomba mwamba.
Pound Billion mbili ni sawa Tshs Trillion 6 na ushee hivi
Je tumpe huyu jamaa ama tukomae? je tutakomaa mpaka lini? maana Arsenal si hii jamani hata top four hatumo kweli?