Ingawa nilijua tutashinda mechi, nilifurahi kuona wenzake Lamela wanavyomkimbilia wakishika vichwa kama hawaamini lile goli lilivyofungwa. Yaani ule mshangao na furaha yao kibinadamu nilifurahi kuona nikajisemea 'huu ndo mpira + burudani, bonge la goli' huku pia nikijisemea kuwa hawa Spurs wanacheka saivi ila punde tu watalia.Ile Rabona sio poa
Shida yetu siyo mechi ya Liverpool, hawa washakuwa kama shirika la misaada kutoa toa mapointi kwa kila anayehitaji naona nasisis watatuhurumia na kutupa point 3 muhimu kwa mioyo yao mema. Tatizo ni hatujaweza kushinda mechi kadhaa mfululizo, hata kwa timu 'ndogo'. Kwa sasa tunapaswa kushinda mechi ZOTE tulizobakiza ila kwa nilivyotuzoea msimu huu tukishinda nusu ya mechi zilizobaki ni bahati. Hapa tujirekebishe.Hawa liva wanatusumbua kwakua finishing yetu siyo kali kwa 100% pia hua tunatatizwa na timu yenye speed katika kushambulia.
Ila kitakachomatter ni namna tunaingia na tutakavyoperform.
Last defeat ilikua dhidi ya City.Shida yetu siyo mechi ya Liverpool, hawa washakuwa kama shirika la misaada kutoa toa mapointi kwa kila anayehitaji naona nasisis watatuhurumia na kutupa point 3 muhimu kwa mioyo yao mema. Tatizo ni hatujaweza kushinda mechi kadhaa mfululizo, hata kwa timu 'ndogo'. Kwa sasa tunapaswa kushinda mechi ZOTE tulizobakiza ila kwa nilivyotuzoea msimu huu tukishinda nusu ya mechi zilizobaki ni bahati. Hapa tujirekebishe.
Yes, ila kabla ya hapo nadhani tulikuwa tumeshinda mechi moja 1/4 kama sikosei, na moja tulidraw mbili tulifungwa. Hapo points 4/12Last defeat ilikua dhidi ya City.
Tuna rekodi ya kuridhisha kiasi fulani.
Jana Westham imebidi ajifunge ili united atoke na points tatu that means hata sisi inabidi tuingie tukiwa makini. Biashara imalizwe asubuhi, tuongeze intensity ya kushambulia.
Wewe unajua hii ni game ya ngapi Arsenal kushinda?Kipofu kaona mwezi.
Gemu 10 ni pointi 30. Ngoja tuone tutavuna ngapi.Yes, ila kabla ya hapo nadhani tulikuwa tumeshinda mechi moja 1/4 kama sikosei, na moja tulidraw mbili tulifungwa. Hapo points 4/12
. Sikumbuki mara ya mwisho kushinda mechi 5 mfululizo. Hapa ndo maana nasema kushinda mechi imekuwa shida. Tutashinda moja, tutadraw inayoufuata...cycle continues. Mwishowe tunajiona tuko nafasi ya 10 ila tungekuwa 5 or 4.
Ile si mara yake ya kwanza kufunga kwa rabona, km sikosei msimu uliopita au wa nyuma yake alifunga kwa rabona kwenye game ya europIngawa nilijua tutashinda mechi, nilifurahi kuona wenzake Lamela wanavyomkimbilia wakishika vichwa kama hawaamini lile goli lilivyofungwa. Yaani ule mshangao na furaha yao kibinadamu nilifurahi kuona nikajisemea 'huu ndo mpira + burudani, bonge la goli' huku pia nikijisemea kuwa hawa Spurs wanacheka saivi ila punde tu watalia.
Nilifikiri ni mara ya kwanza. Lilikuwa goli zuri kwa kweli na reaction ilikuwa enjoyable. Ningekuwa na wasiwasi wa ushindi ningemind ila niliweza kuenjoy maana nilijua tutashinda tu. Yale yale ya Leicester City kutangulia na kufungwa.Ile si mara yake ya kwanza kufunga kwa rabona, km sikosei msimu uliopita au wa nyuma yake alifunga kwa rabona kwenye game ya europ
ndio kinachonipa wasiwasi, ila siku hizi wamepunguza kasi ,Hawa liva wanatusumbua kwakua finishing yetu siyo kali kwa 100% pia hua tunatatizwa na timu yenye speed katika kushambulia.
Ila kitakachomatter ni namna tunaingia na tutakavyoperform.