Tuwe wakweli nimeangalia benchi la kwetu ,uongo ni mbaya 1st eleven yetu ikishindwa kuperform hatutapata matokeo wadau,tuombe Mungu 1st eleven yetu iperform ijue leo Arsenal fans wote tunawategemea otherwise wasipoperform na Mechi itakuwa imeisha
Manchester United wana benchi zuri sana halafu nashangaa Nketiah, Willock hawa mpaka sasa wanafanya nini Arsenal hakuna timu inayowataka?hawana utofauti wakiwa uwanjani na nje ya uwanja ni ushuzi mtupu
Tunacheza na mahasimu tukiwa dhaifu sana
No Auba, Saka,Tierney
watengenezaji nafasi za kufunga