Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,547
- 9,698
kama haya maelezo ni kweli madrid wasingemuachia hata kwa bahati mbaya.Je Ujio Wa Odergaard Una Maana Gan Na Nin Hatma Ya Smith Rowe
Kwanza Kabisa Nataka Nielezee Utofauti Uliopita Kati Yao Hawa Wawili Na Namna Ambavyo Wanaweza Kutumika Katika Kuleta Matokeo Chanya Kwenye Team
Emil Smith Rowe
Huyu Bwana Mdogo Style Yake ya Uchezaji ni Tofauti Kabisa Na Ya Martin Odergaard Huyu Silaha Yake Kubwa ni Movement Za Off The Ball Ad Kuja Kufanya Kazi Ya Pasi Ya Mwisho Kuwa Rahisi
Namaanisha Nini
Smith Rowe Akipokea Mpira Kwenda Kwenye Eneo La Hatari La Team Pinzani Huwa Anaachia Pasi Halafu anaendelea Kutembea Na Kasi Kwenda Kutengeneza Wigo Mpana Mbele Yaan Huwa Anaanzisha Move Halafu anasafiri Nayo had Mwisho na Kinachotokea Huwa ni Ngumu Sana Kum Mark Ama Kumzuia Mtu Aliyepo Kwenye Movement Hivyo Kama Move Ikipatq Watu Sahihi Mara Nyingi Smith Rowe Hutoa Pasi Rahisi ya Goli Ama Hufunga Goli Ndan Ya 18 Ya Mpinzan
Style Hii Huhitaji Energy Kubwq Sana Pumzi Na Pi Inahitaji Mtu Makini Katika Kujua Wap Pa Kukimbia na Wap pa Kuachia Mpira
Martin Odergaard
Huyu Bwana Mdogo Style Yake Ya Uchezaji ni Ya Kuuamrisha Mpira Uende Kwenye Maeneo Ya Hatari Na Mara Nyingi Hufanyq Hivyo Bila Kutembea Na Move Sana..Huyu ni Mtaalam Wa Kupiga Zile Killer Pass na Kuvunja Ukuta Kwa Pasi Zenye macho na Ubunifu
Huyu Huwa Hakimbii Eneo Kuwa Sana Kama Rowe Ila Anatumia Mpira Kama Silaha ya Kufika Eneo Husika Pasipo Yeye Kufika Haijalishi ni Katikati Ama nje ya 18
Jinsi Gan Watatumika Hawa??
Hawa ni Namba Kumi Wa Aina Mbili Tofauti Na Ubunifu wao ni wa Aina Tofauti Na Tunawahitaji Wote Kufungua Ukuta Za Wapinzani Na Ukiangalia Mara Nyingi Smith Rowe na Saka Huwa Wanakuwa Kama Wanacheza Free Sana Kama Auba Hayupo Ili Kutengeneza Wigo Mpana Mbele
Rowe Anaweza Kucheza Kama Namba Kumi Anayetokea Pemben Sababu Ana Work Rate Kubwa Kuliko Odergaard Na Odergaard ni Mzuri Akitumika Kama Free Role Sababu ana Creativity Kubwa Kuliko Rowe
Nafurahia Sana Upana Wa Kikosi Sababu Hupelekea Team Kuwa Bora Na Akitoka Mtu Anaingia Mtu
I Stand To Be Corrected...
nakupa homework kafatilie mgogoro wa zidane unaotaka kumuondoa mwisho wa msimu, perez amewekeza kwa vijana wenye vipaji , na wengi amewatoa loans, jiulize odegaard amefikajea madrid,kama haya maelezo ni kweli madrid wasingemuachia hata kwa bahati mbaya.
kaka umetususaNiko na nyinyi mpaka mwisho wa show
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1687030
Emirate(geto) msisahau kuja na mafuta[emoji2765] Hatimaye mmefufuka, mmerudi kwenye hali ya kuimarisha usajili kwa kutumia server za JF, ili hali hata arteta wenu yupo calm.
[emoji2765] Game yenu na Man Utd, safari hii msitarajie mdundiko, this time Man Utd ni serious contender japo hater's hamtaki kabisa kusikia wala kuliona hili.
[emoji2765] Kitendo cha kufungwa na blades, kimeamsha masikio ya kila mtu anayehusika na Man Utd.
[emoji2765] Hamna rangi mtaacha kuiona hiyo coming game this weekend, mtasanuliwa na mtapotea wote humu kama kawaida yenu.
[emoji2765] Ngoja leo tucheke, we want liver vs spurs.
kilainishiEmirate(geto) msisahau kuja na mafuta
Hawa Nyumbu sio wakuwachekea kabisa, saivi wapo kimya ngoja washinde kesho matusi yote mtayaona
Sawa sawa mchambuziSpurs kacheza 3 ,4 3 dhidi ya liva kapasuka.
Tangu mourinho afike spurs anatumia 4 2 3 1, formation ambayo juzi tu imempa ushindi ole, spurs haina beki. Walijaribu kufanya aggressive highline pressing shida ikawa kwa wing backs zao.
Krosi kwenda kwa mane na salah zinamiminika tu. Sideway passes zinamiminika tu na kibaya zaidi wakawa wanaiga mchezo wa speed wa liva na gegenpress.
Unaona spurs wanaacha mipira nyuma ghafla son anapanda kufuata mipira mbele hakupitiki.
Goli la firmino na la mane linaweza kumuweka benchi mtu. Yaani wale ni mustafi au luiz kabisa.
Ila AM wao Ndombele yuko vizuri. Arsenal tunahitaji AM kama yule, skills, runs, fighting spirit, anarelax akiwa na mpira, anajua 1 2 yaani yuko poa.
Anyway, the whole team was in shambles.
Noma sn, hili chama linavyomsaka mbwa linatupa Confidence sn[emoji1487]Hao maibilisi wekundu sio wa kuwaacha.. nampiga na kikosi cha vijana wakina Saka, Odegaard, KT, n.k
Watasahau ubingwa waliokuwa wakijidanganya.