hii itakuwa poa. Ukimkosa Saka, Odegaard kama ana shiriki kukaba anaweza kuwa playmaker wa upande wa kulia anayependa kuingia kati. Nahisi Ljungberg aliwahi kucheza hivi. #10 unakuwa na Smith-Rowe kama kawa...Ndiyo
Tini ana skills kama Pepe.hii itakuwa poa. Ukimkosa Saka, Odegaard kama ana shiriki kukaba anaweza kuwa playmaker wa upande wa kulia anayependa kuingia kati. Nahisi Ljungberg aliwahi kucheza hivi. #10 unakuwa na Smith-Rowe kama kawa...
naona hiyo haitawezekana maana 8 na 6 wako kina Partey, Elneny, Xhaka na Ceba naona lazima wawili wao wawepo, hivyo 7 atapewa Saka, Pepe ataanzia bench. Pepe akiwa wa moto ataanza ila Saka kwa kipindi hiki nadhani ni jina la kwanza kupangwa na Arteta ukimuacha Leno, hivyo anaweza kuwekwa hata #11 lakini akiwa fiti hakai benchi.Tini ana skills kama Pepe.
Binafsi naona Tini akae 10. 8 Saka na 7 Pepe.
Hapo ni kama Emile atakua hawezi kuanza.
Ila Tini asipofanyia kazi pressing anaweza jikuta anawekwa benchi na Emile.
Aaron Arsenal kapoint kwamba Partey yuko sawa.naona hiyo haitawezekana maana 8 na 6 wako kina Partey, Elneny, Xhaka na Ceba naona lazima wawili wao wawepo, hivyo 7 atapewa Saka, Pepe ataanzia bench. Pepe akiwa wa moto ataanza ila Saka kwa kipindi hiki nadhani ni jina la kwanza kupangwa na Arteta ukimuacha Leno, hivyo anaweza kuwekwa hata #11 lakini akiwa fiti hakai benchi.
Sawa acha tupambane hii Jmosi. Huku tukivuta subira tukiwasubiria kina Everton, West Ham na hata kina Tottenham na Leicester waanze kuchoshwa na mechi nyingi eanze kupoteza maana sisi tumebaki na EPL tu (Europa ssihesabii) kupambania hivyo inatupasa kushinda sana ila pia kwa kutumia wachezaji wetu vizuri. Everton na Villa walianza vizuri wakaleta ushindani ila nahisi momentum inpungua japo wana mechi mikononi. Watarudi tu kwenye nafasi zao wanazostahili huko chini.Aaron Arsenal kapoint kwamba Partey yuko sawa.
Imebakia kujua Tierney na Emile kama watakuepo Jmosi if they will be available itakua poa mno.
Pepe akiwekwa upande wa kulia na Tierney akiwa sawa, subiria lawama kwa Bisaka. Soares napendekeza aanze badala ya Bellerin.
Shaw siku hizi anajitahidi kupandisha timu, Saka na Soares ni wazuri kwa kupress. Am sure Shaw atakua held.
Mtihani wetu ni De Gea, kati kati na Pogba. Fred ni rahisi kua frustrated na kucheza faulo, hivyo siyo tishio kwa timu ila anaweza sababisha mchezaji mmoja kutoka kwaajili ya injury.
Mimi Europa naihesabia.Sawa acha tupambane hii Jmosi. Huku tukivuta subira tukiwasubiria kina Everton, West Ham na hata kina Tottenham na Leicester waanze kuchoshwa na mechi nyingi eanze kupoteza maana sisi tumebaki na EPL tu (Europa ssihesabii) kupambania hivyo inatupasa kushinda sana ila pia kwa kutumia wachezaji wetu vizuri. Everton na Villa walianza vizuri wakaleta ushindani ila nahisi momentum inpungua japo wana mechi mikononi. Watarudi tu kwenye nafasi zao wanazostahili huko chini.
kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.-Tierney alienda kuchezea timu ya taifa. Akatakiwa ajiisolate na ataikosa game ya Arsenal as isolation itaextend mpaka siku ya mechi na zaidi.
Arsenal wakaandika barua kusema Tierney anahitajika kwenye mechi. Shirikisho likagoma kwa kupoint kwamba taratibu inabidi zifuatwe na Tierney akiruhusiwa utakua upendeleo hivyo Tierney hatoki. Baadaye Tierney aliruhusiwa na kwenye mechi alikuepo.
-Kuna wachezahi wengi wamesema walihitajika na timu zingine lakini Arsenal ilipoingilia kati ikawa hamna mjadala, safari ni Arsenal.
Mfano wa hivi karibuni ni Odegaard ambaye spurs walikua wanamtaka pia.
Lakini kuna wengine wengi kama Henry, Gabriel n.k.
Kuna usemi unasema "When Arsenal knocks it's a different knock"
-Arsenal ilitaka iruhusiwe kucheza mbele ya mashabiki wake. Wakaruhusiwa, selected few enjoyed the moment.
Sina uhakika kama kuna timu nyingine epl imecheza na mashabiki zaidi ya Arsenal.
-Arsenal imeiomba Benfica mechi ichezwe uwanja neutral, kwa taratibu zilivyo sasa ni kwamba mtu atakayetokea nchi ya Ureno akifika UK inabidi ajiisolate kwa siku 14. Hii inamaanisha kila atakayeenda huko na kurudi ataikosa game ya Leicester na City.
Benfica amegoma akisema game lazima ichezwe Ureno. Ureno ni red zone katika hii ishu ya Covid 19.
Nataka ona hili suala litaishaje. Mimi naona maombi yetu yana logic nzuri tu, unless kama Benfica wana logic nzuri zaidi tusubiri tuone.
Sioni ugumu katika hili ngoja negotiations ziishe.kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.
Namna ya uchezaji wa Rowe ni kama unamuangalia De Bruyne. Wakati Tini ni Ozil.Je Ujio Wa Odergaard Una Maana Gan Na Nin Hatma Ya Smith Rowe
Kwanza Kabisa Nataka Nielezee Utofauti Uliopita Kati Yao Hawa Wawili Na Namna Ambavyo Wanaweza Kutumika Katika Kuleta Matokeo Chanya Kwenye Team
Emil Smith Rowe
Huyu Bwana Mdogo Style Yake ya Uchezaji ni Tofauti Kabisa Na Ya Martin Odergaard Huyu Silaha Yake Kubwa ni Movement Za Off The Ball Ad Kuja Kufanya Kazi Ya Pasi Ya Mwisho Kuwa Rahisi
Namaanisha Nini
Smith Rowe Akipokea Mpira Kwenda Kwenye Eneo La Hatari La Team Pinzani Huwa Anaachia Pasi Halafu anaendelea Kutembea Na Kasi Kwenda Kutengeneza Wigo Mpana Mbele Yaan Huwa Anaanzisha Move Halafu anasafiri Nayo had Mwisho na Kinachotokea Huwa ni Ngumu Sana Kum Mark Ama Kumzuia Mtu Aliyepo Kwenye Movement Hivyo Kama Move Ikipatq Watu Sahihi Mara Nyingi Smith Rowe Hutoa Pasi Rahisi ya Goli Ama Hufunga Goli Ndan Ya 18 Ya Mpinzan
Style Hii Huhitaji Energy Kubwq Sana Pumzi Na Pi Inahitaji Mtu Makini Katika Kujua Wap Pa Kukimbia na Wap pa Kuachia Mpira
Martin Odergaard
Huyu Bwana Mdogo Style Yake Ya Uchezaji ni Ya Kuuamrisha Mpira Uende Kwenye Maeneo Ya Hatari Na Mara Nyingi Hufanyq Hivyo Bila Kutembea Na Move Sana..Huyu ni Mtaalam Wa Kupiga Zile Killer Pass na Kuvunja Ukuta Kwa Pasi Zenye macho na Ubunifu
Huyu Huwa Hakimbii Eneo Kuwa Sana Kama Rowe Ila Anatumia Mpira Kama Silaha ya Kufika Eneo Husika Pasipo Yeye Kufika Haijalishi ni Katikati Ama nje ya 18
Jinsi Gan Watatumika Hawa??
Hawa ni Namba Kumi Wa Aina Mbili Tofauti Na Ubunifu wao ni wa Aina Tofauti Na Tunawahitaji Wote Kufungua Ukuta Za Wapinzani Na Ukiangalia Mara Nyingi Smith Rowe na Saka Huwa Wanakuwa Kama Wanacheza Free Sana Kama Auba Hayupo Ili Kutengeneza Wigo Mpana Mbele
Rowe Anaweza Kucheza Kama Namba Kumi Anayetokea Pemben Sababu Ana Work Rate Kubwa Kuliko Odergaard Na Odergaard ni Mzuri Akitumika Kama Free Role Sababu ana Creativity Kubwa Kuliko Rowe
Nafurahia Sana Upana Wa Kikosi Sababu Hupelekea Team Kuwa Bora Na Akitoka Mtu Anaingia Mtu
I Stand To Be Corrected...
kweli ,maana odegaard 11 anapiga vzr, mm natarajia kumuona zaid europa alhamis akianzaNamna ya uchezaji wa Rowe ni kama unamuangalia De Bruyne. Wakati Tini ni Ozil.
So upo sahihi.
Arteta anasema Tini alikua mbovu asipokua na mpir ila siku hizi kaimprove so inawezekana akawa first selection haraka sana.
Sitashangaa siku Tini akacheza 11 na Emile akawa 10.
Ukisikiliza akiojiwa unaona na kuskia ni shabiki wa Arsenal huyu Ødegaard.-Tierney alienda kuchezea timu ya taifa. Akatakiwa ajiisolate na ataikosa game ya Arsenal as isolation itaextend mpaka siku ya mechi na zaidi.
Arsenal wakaandika barua kusema Tierney anahitajika kwenye mechi. Shirikisho likagoma kwa kupoint kwamba taratibu inabidi zifuatwe na Tierney akiruhusiwa utakua upendeleo hivyo Tierney hatoki. Baadaye Tierney aliruhusiwa na kwenye mechi alikuepo.
-Kuna wachezahi wengi wamesema walihitajika na timu zingine lakini Arsenal ilipoingilia kati ikawa hamna mjadala, safari ni Arsenal.
Mfano wa hivi karibuni ni Odegaard ambaye spurs walikua wanamtaka pia.
Lakini kuna wengine wengi kama Henry, Gabriel n.k.
Kuna usemi unasema "When Arsenal knocks it's a different knock"
-Arsenal ilitaka iruhusiwe kucheza mbele ya mashabiki wake. Wakaruhusiwa, selected few enjoyed the moment.
Sina uhakika kama kuna timu nyingine epl imecheza na mashabiki zaidi ya Arsenal.
-Arsenal imeiomba Benfica mechi ichezwe uwanja neutral, kwa taratibu zilivyo sasa ni kwamba mtu atakayetokea nchi ya Ureno akifika UK inabidi ajiisolate kwa siku 14. Hii inamaanisha kila atakayeenda huko na kurudi ataikosa game ya Leicester na City.
Benfica amegoma akisema game lazima ichezwe Ureno. Ureno ni red zone katika hii ishu ya Covid 19.
Nataka ona hili suala litaishaje. Mimi naona maombi yetu yana logic nzuri tu, unless kama Benfica wana logic nzuri zaidi tusubiri tuone.
Inawezekana. Ila hauoni tutamdumaza Saka huku anadeliver vizuri tu na Tini anaondoka mwisho wa msimu?Hivi aiwezekan Rowe na Odegard wote kuanza?
Rowe 10
Odegard 11
Saka 7
Mkuu acha utani Europa ni target ya Arteta this season, afe kipa afe beki,binafsi bora Arsenal tuchukue Europa kuliko tuingie top 4kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.