Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
wkend lengo ni kuionesha dunia kwamba hapo mmeshika nafasi za watu, mpira hamjuiTarehe 30 tunakata mzizi wa fitina.
Tunakupasua 2 bila.
mkuu wewe sema usemavyo, arteta hafukuzwi leo wala kesho....huyu ana project kubwa na klabu ,ndio maana kipind tunafungwa sana , board ilisema ipo nae 100% na wala haina wazo la kumtimua,Miaka 3?kwa kuwa mid table team?mpaka sasa Arsenal haieleweki na haisomeki
Kuna member mmoja sina hakika ni nani kuna siku alisema Wa
Miaka 3?kwa kuwa mid table team?mpaka sasa Arsenal haieleweki na haisomeki
Kuna member mmoja sina hakika ni nani kuna siku alisema Wamiliki wa Arsenal hawana uchungu na timu sababu hawatoi hela yao mfukoni kwa ajili ya usajili (I am not sure sana katika hili)ila ukiangalia kwa jicho la 3 Mmiliki atoe hela na timu ipate poor results tena Big team kama Arsenal sidhani kama angekubali
miliki wa Arsenal hawana uchungu na timu sababu hawatoi hela yao mfukoni kwa ajili ya usajili (I am not sure sana katika hili)ila ukiangalia kwa jicho la 3 Mmiliki atoe hela na timu ipate poor results tena Big team kama Arsenal sidhani kama angekubali
Ok tupate 6 points katika mechi 2 zijazo bila hvyo hali ya hewa itachafukamkuu wewe sema usemavyo, arteta hafukuzwi leo wala kesho....huyu ana project kubwa na klabu ,ndio maana kipind tunafungwa sana , board ilisema ipo nae 100% na wala haina wazo la kumtimua,
ukiona arteta kafukuzwa kabla ya miaka 3, basi timu iwe kama ile ya unai...
mech 2 tu tutakuwa tumeingia top 4,Ok tupate 6 points katika mechi 2 zijazo bila hvyo hali ya hewa itachafuka
Jana united ilikua ina spirit kubwa si kitoto. Kama jmosi tutakutana nao wakiwa hivyo tutakua na mtihani, game iliyopita tulishinda ila haukua ushindi convincing as si sisi wala wao waliokua lethal.Martin Ødegaard to Arsenal, here we go! The agreement has been reached after last contacts today between #AFC and Real Madrid.
Loan until the end of the season, salary paid by Arsenal. Arteta’s call key to convince the player. Medicals pending - then deal will be announced
akiwepo partey usitarajie usumbufu wao,silaha yao kuu ni counter tu....so tunahitaji viungo wa kublock na kurud haraka wanapokuwa na mpiraJana united ilikua ina spirit kubwa si kitoto. Kama jmosi tutakutana nao wakiwa hivyo tutakua na mtihani, game iliyopita tulishinda ila haukua ushindi convincing as si sisi wala wao waliokua lethal.
Hii imenifanya nitamani Odegaard asajiliwe fasta na asifanye isolation. Inasemwa kua atajiisolate ikiwa atakutwa positive, so akutwe negative ili jmos awepo kwenye selection.
Auba sidhani kama atakua amerudi. Coz tunaweza jikuta we are short in forwards. Waliokuepo ni Willian na Nketiah.