Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Song tayari ana YELLOW.......sio nzuri sana in this early time of the game........
 
Wapi AW.......
Wapi Mbu..
Wapi Michelle.....
Wapi Questt..
Wapi Kweli..
Wapi Blntnd...


Kama kawa COWARD Wacha1, Mzee wa fujo kajificha, anasubir dakika 90 za mtanange aje hapa aanze kumwaga upupu wake....Embu toka mafichoni uwe kama wenzako hapo juu, WANAJIAMINI, tunakwenda HEAD to HEAD debate.....
 


tupo inamaana utuoni? Wengine wako kwenye jukwaa la mabomu ya gongo la mboto tunachungulia kote kote,au huna habari gongo la mboto inalipuka?
 

TUPO NDG YANGU.....au kuna jingine???????
 

Nipo mtani........Kichwa kinaniuma ile mbaya..................Messi.............Iniesta..............Villa........aaaaaaaaaaaaaargh
 


Nipo mkuu,sina imani leo sijui kwanini??? haya,kazi inaendelea......
 
tupo inamaana utuoni? Wengine wako kwenye jukwaa la mabomu ya gongo la mboto tunachungulia kote kote,au huna habari gongo la mboto inalipuka?

Najua sana..na nyumba ndogo uko huku. Apa nna mpango kesho niamkie kutafuta nyaraka za kibanda changu cha kule as naju kutakuwa na FIDIA tu, and am sure hakijapona.....
Haya haya twende kaaaaazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…