Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata mkishinda hamwendi popote, mnabaki hapo hapo nafasi ya 11.

Kiufupi hamna sumu yeyote.
Kama paka nyinyi ni paka kibogoyo, hamng'ati wala nini!
 
Ubahili unatumaliza Arsenal. Mkataba wa Mari unasema kila akicheza mechi 10 Arsenal wanaipa Flamengo 1M yaani hata benchi hayupo.
 
Dakika ya 44 ngoma bado ngumu hapa, sio washika manati wala washika msalaba, mpaka sasa hakuna alie liona lango la mwenzie
 
Suala la usajili naona limeishia njiani kimyaaaa,pengo la Tierney ni kubwa sana kwetu tubane pumbu mechi iishe salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…