Mkuu, sisi HALISI tupo pamoja na timu,hawa wanaotukana wachezaji tumewaweka pending kidogo,Wapiga bunduki mlio geuka warusha mishale,za siku nyingi!
Bado hamuyaogopi Majogoo ya Anfield?
Waambie Cheltako na Wanitesa Union wanawajua vizuri Washika mitutu wa London.Mkuu, sisi HALISI tupo pamoja na timu,hawa wanaotukana wachezaji tumewaweka pending kidogo,
Nani hawajui washika bunduki?
Arsenal away to Shrewsbury or Southampton in the FA Cup fourth round. Likely to be away at Wolves in the fifth round if they get through. Not easy.
Kama hawatouzwa.
Rúnarsson (Son of Runner) akitoka nani anakuwa backup ya Bernd?@FabrizioRomano
on Rúnarsson: "He can go on loan - he needs to play and get confidence - similar to what happened with Kepa. Yes, he can leave the club. I've not heard about any GK targets."
summer kuna usajiri wa kipa,dogo imeonekana uwezo wake ni mdogoRúnarsson (Son of Runner) akitoka nani anakuwa backup ya Bernd?
Huwez kubeba kombe loloteKumbe uko kuzifunga kutimu kubwa?
"Karaghabaho".