NAFURAHI KUONA HIKI KIPAJI NATAMANI KUENDELEA KUKIONA LAKINI ANAHITAJI MANAGEMENT SAHIHI
Hapa namzungumzia kijana huyu ambae kafananishwa sana na kevin de bruyne nae ni Emile smith rowe
Almaarufu kama EMZINHO ni moja ya academy graduate wa hale end ni kijana aliyejiunga na gunners akiwa na miaka 10 tu kipindi icho
kawahi kufanya majaribio chelsea 2009 mpaka arsenal walipomuona kumsajili
huyu ni talent ni moja ya waingereza ambao kimsingi ni talents halisia mpaka kufaninishwa bruyne sio muonekano tu hata nature uchezaji wake
rowe hakuanza kupata nafasi kubwa kucheza senior team kama ilivyo kwa kina saka au willock lakini ni kijana anae ipenda arsenal kujituma
kawahi kataa offer kujiunga spurs na barca sababu aliamini arsenal ni sehemu sahihi kwake
katolewa kwa mkopo rb reipigz baadae huddesfield aliendelea kuonesha kitu
lakini sasa Rowe kinachomnyima nafasi kubwa kama wenzie ilikuwa injury prone anaumia mara nyingi
na nature ya ligi ya epl inahitaji ukakamavu kidogo walau kucheza atleast match 20 bila majeruhi unless iwe fatigue
ila kwa rowe ikawa tabu kidogo lakini nafasi yake ipo leo hii rowe anatokea ambapo hakuna aliyetarajia kuwa suruhisho kiasi kwenye attacking rhythm yetu
nataka kuzungumza hiki kulingana na nature ya rowe anahitaji msaada ( rotation) kumfanya tegemeo pekee inaweza kuwa hatari zaidi kwake na filosophy ya team
lazima kuwepo mbadala apewe muda sahihi kucheza ila afanyiwe rotation kumlinda na majeruhi ambayo ni sehemu ya historia yake
ni kazi ya jopo la makocha kufanya management sahihi kwa kipaji iki tunahitaji kwa sasa na baadae
View attachment 1675001