Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu inahitaji kufumuliwa. Wachezaji wamekosa morali timu ina fighters wachache.

Tulilaumu Torreira kwenda Atletico lakini Atletico wanataka kukatisha mkataba wa mkopo na Torreira as hajafikia matarajio yao.

Huyo ni ambaye hata timu ya nje imeona unadhani wamebaki wangapi pale ambao wanakula mshahara ila jezi ishakua nzito?

Am telling you kikosi chetu kama kingekua na wachezaji 7 wa nafasi tofauti wanaojituma kuna mechi zisingekua zinakuja na disappointments.

Tatizo la Arsenal siyo kocha. Mara nyingi ninasema hivyo hata kipindi cha Wenger kocha hakua tatizo. Kama tutaweza uza/ release angalau wachezaji 5 tukapata wapya tutafanya turn around nzuri tu.

So yeah Arteta abaki atimiziwe mahitaji kisha tuone.
 
Mkuu sio yeye tu pekee, hata huku mtaani kwetu wameanza kufufuka.
Tena watarudi wengi, itapo tokea Manchester United akafungwa leo (japo hilo swala ni sawa na kunguru kunyea mbingu )
Nani anaanza leo? Ighalo au Cavani?
 
Ni kweli kabisa timu inahitaji kufumuliwa ila kwa financial position ya club, hii ni transition ya madirisha kama matatu hivi ya usajili. Hatuna uwezo mkubwa wa kununua wachezaji wengi ambao ni world class kwa mara moja.

Hii timu inahitaji kufumuliwa. Wachezaji wamekosa morali timu ina fighters wachache.
Kwa issue ya Torreira na wenzie sina shida yafaa waondolewe, ndio maana nikasema matatizo ya club hii yamekita mizizi kwa muda mrefu sasa ikiwemo kuwa na avarage players wengi sana kitu kinachoifanya timu pia average

Tulilaumu Torreira kwenda Atletico lakini Atletico wanataka kukatisha mkataba wa mkopo na Torreira as hajafikia matarajio yao

Huyo ni ambaye hata timu ya nje imeona unadhani wamebaki wangapi pale ambao wanakula mshahara ila jezi ishakua nzito?
Nadhani uko sahihi kwenye hili pia, mtazamo wangu hauko mbali na wako. Kocha apewe muda aweze kujenga structure na philosophy ya timu ambayo ndiyo itaamua ni wachezaji gani tusajili.

Hata Barca ina world class players wa kutosha lakini imekuwa ikibadili makocha hovyo hovyo recently na bado wanavurunda, subira ni muhimu kupata right package

Kwahiyo hautaki Ighalo aanze?
Inabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.

Nikuuzie Ighalo, uniuzie Aubameyang, maana hawa wote ni vimeo msimu huu.
 
Inabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.

Nikuuzie Ighalo, uniuzie Aubameyang, maana hawa wote ni vimeo msimu huu.
Ighalo hamfikii hata Nketiah
 
Nketiah huyu huyu anae pewa nafasi na Arteta ndio wa kumfananisha na Ighalo ambaye apewi nafasi kuthibitisha uwezo wake?

Ighalo anajua, tatizo timu anayo chezea ina wachezaji wanajua kuliko Ighalo.
Ila na kuthibitishia kua Ighalo anamuweka nje Magazeti.
Ighalo hamfikii hata Nketiah
 
Inabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.

Nikuuzie Ighalo, uniuzie Aubameyang, maana hawa wote ni vimeo msimu huu.

Dah mkuu, yaani tupo nafasi ya15 na bado mna hamu ya kututapeli?!!
Naona mmedhamiria twende Championship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…