Hehehe now tumeshinda tungefungwa au kusuluhu mashabiki tusingekua na hiyo logic.Kwa Sead Kolasinac sishangai, hiyo ni weaker foot kwake na pia ukiona hiyo picha utahisi ni mpira alikuwa kaucontrol ila hiyo ilikuwa ni volley (anaunganisha) na ni matukio yanatokea in a space of seconds.
Hii ni mechi ya ngapi tunaanza kufungwa na tunasecure ushindi?Nashawishika kuwa mbele ya macho ya wengi ukocha wanauchukulia kama aina ya 'mazingaombwe', yaani unaweka makaratasi baada ya 'abra kadabra' yanakuwa fedha muda huo huo.
Sarri pale Juve ana kila aina ya player lakini ubingwa wa Italy tu ulitaka kumshinda na katupiwa virago, PSG ina 'mafundi' wa kutosha ila ndio angalau wameonja fainali ya Uefa msimu jana. Barca mwenyewe na kina Messi wake hata kikombe cha chai hajachukua msimu jana.
Sisi tunamlaumu Arteta ambae out of no where ndani ya miezi nane alikuwa kamfunga Liver, City, Chelsea na kabeba vikombe viwili.
Aliwahi kusema Mourinho kuwa ukocha ni kazi ya ajabu sana, "football managers are hired to be fired".
Just trying to keep this thread alive.gspain, Castr, Aaron Arsenal na wengine I really enjoy your insights. Kuna kujua mpira lakini kuna kujua kuuchambua mpira.
gspain, Castr, Aaron Arsenal na wengine I really enjoy your insights. Kuna kujua mpira lakini kuna kujua kuuchambua mpira.
Hahaaaaa ila kweli aisee
Astonvilla jumapili atusamehe tu kwakweli ,
Ila naona Arsenal tumeanza kucheza kwa mtindo wa Ku press na kukata highline ,
Ila Kazi waliyofanya Jana Xhaka na Ceballos , Aisee ni kubwa , Hakika Elneny kawatishia namba zao,
Elneny Alipoingia Hivi alipoteza pass kweli?
Kuna Goli moja kapiga Pre assist ,
Najua Sasa hivi Arteta anawasoma Astonvilla ajue anakuja na Package gani
Wale jamaa wana Viungo wazuri kama msipo wakamata , McGin , Douglas Luiz,Bakley ,Grelish
Hawa Partey anawatosha kabisa
We jamaa dahWakati naanza kuishabikia Arsenal mid 90s, nilikuwa napata maumivu sana tunapofungwa, hiyo ilinifanya niwe nacheki analysis baada ya mechi(uzuri tulikuwa na SuperSports home).
Nikagundua kuwa hata kufatilia uchambuzi wa kabla ya mechi na half time ni muhimu sana, inakufanya uwe na matarajio yanayo endana na uhalisia hivyo kuweza kucontrol hisia za matokeo. Baada ya ujio wa internet nikawa nafatilia mengi sana kabla ya game nayo ikanisaidia sana kumudu mihemko yangu ya kishabiki.
Nilichogundua fans wengi hawana uelewa mpana wa haya mambo, timu yake ina injury za kutosha bado anaweza hata 'kupinga mke mke'unamcheki unaona huyu muda si mrefu mke wake anaweza kufanywa house girl kwa watu sababu ya 'unazi' wa kijinga.
Tukijifunza kufatilia haya mambo, kuna lawama nyingi humu ndani zitakufa 'natural death'. Atleast mashabiki wengi wa Liver huwa hawana mihemko, ila kwa haya mafanikio wanayopata sasa tutegemee mihemko kutokana na kupata mashabiki wafata mkumbo.
Wew umeanza lin kushabikia arsenal?We jamaa dah
Umegusia issue ya Leeds hapo na 4-1-4-1 yao, kiukweli nampenda sana Bielsa ni 'football genius'. Jamaa anavyoitumia hii formation natamani Arteta acopy baadhi ya vitu kisha aviboreshe, labda chanagamoto kubwa itakuwa kucope na speed na intensity ya game over 90mins.Aston Villa kapoteza games mbili mfululizo kapoteza game na Leeds, alifungwa tatu bila, kisha akapoteza kwa Southampton nne tatu.
Interesting game ni ile ya Leeds. Leeds anacheza 4 1 4 1 hii formation inakupa ukabaji mkubwa na kumiliki mpira kwa muda mrefu.
No wonder Leeds alimiliki mpira kwa 60% kwenye hii game.
Also inafanya muda wote wachezaji wawe lango la upinzani.
Arsenal formation yetu ya 3 4 3 ni same, unakua na viungo wengi katikati huku unamiliki mpira na kupaki basi kwa pamoja.
Tofauti yetu na Leeds sisi hatuna mpira wa speed na hatuna wachezaji wa kufosi. Kwa hii game tayari inaonyesha Villa akipelekewa mashambulizi na akaukosa mpira muda mrefu anakua frustrated.
This explains kadi za njano na faulo nyingi alizocheza. Pia inaexplain faulo za Soton ambazo ndiyo zikazaa magoli mawili.
It also tells us kipa hakua mzuri sana katika direct freekick ambazo Willian anajua kuzipiga.
So mpaka sasa tuna advantages mbili, formation na mid yetu na piece taker.
Ili kuwaongezea frustrations na wawe reckless inabidi tuwe na mtu anayeweza kukaa na mipira muda mrefu na haogopi kwenda mbele jibu linakuja Partey na Ceballos.
Mlinzi wa kulinda wenzake wakienda mbele ni Xhaka au Elneny.
Watu watakaoswarm kwa sprinting za kwenda mbele ni Bellerin na Cedric na Tierney.
Disadvantage? Ni kwamba formation yetu hua inakua wazi kwa mipira ya counter. Juzi hivi Xhaka alimdaka mtu, ile ilikua ni counter imeshakubali. Na hawa ndiyo walimpiga Liva goli saba, mixer na counter humo humo.
Also wana Watkins, Grealish na Trezeguet. Lets hope Grealish ataendeleza utoto wa anao anao na pia pressing itapigwa huko huko juu ili isiwepo chansi ya counter.
Mustafi hana pace ni risk kumpa namba hapo. Ni bora Xhaka awe CB kuliko Mustafi.
At last itakua ni kuonyeshana who belongs where. Hizi ni nyakati za kumuamini kocha kuliko timu.
Natarajia a stunning performance.
Mzee sio masikhara ase tuna team nzuri kiukweli.Mumenenepa kinoma nyie watu.
Ila bado mapema kusema muna timu mzuri.
Mumenenepa kinoma nyie watu.
Ila bado mapema kusema muna timu mzuri.
Unaona wivu?Mumenenepa kinoma nyie watu.
Ila bado mapema kusema muna timu mzuri.
Kipindi cha kwanza alichezq hovyo sana!.. Ila kipindi cha pili kaupiga mwingi..Unaangalia mpira upi? Pepe is doing fine