Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
wewe uliokua unasubiri arsenal ifungwa ili upate la kuongea nakushauri sasa tafuta kitanda ulale pole sana kwa kuambulia usichokipendawilly jr dully jr njoeni muokoe jahazi lenu linazama huku
No other Arsenal player has more G/A than Nicolas Pépé this season.Pepe is not playing the way he used to play while at Lille
He not fast creativity has gone done
He looses the ball easily
He is just there
Never consistent
What hurts the most is it that £72
That was way too much.
Arsenal 4 - 1 Molde, timu imecheza vizuri hawa jamaa walikamia sana hii mechi.Mkuu game imeishaje???, kwa sisi ambao bado hatuna taarifa
Hongereni fellow Gunners kwa ushindi.No other Arsenal player has more G/A than Nicolas Pépé this season.
Umesema kweli Kabisa ,hata Willian amesema , Kwa Arteta Anataka Wanaposhambulia na kudefend wawe kwenye Position zao husika walizoambiwa.Hongereni fellow Gunners kwa ushindi.
Mara nyingi huwa nashauri fans hasa wa Arsenal wajifunze kuangalia 'game' na sio 'mpira'. Kuangalia 'mpira' ni ile kufatilia mpira unavozunguka kwenye uwanja na kutokujua mambo mengine yote. Watu wa namna hii hufocus kwenye matokeo tu kama ndio mafanikio.
Ukijua kuangalia 'game' lazima utafatilia kuanzia team news, line up, formation na opponent wako pia yukoje na possible ways za kumkabili.
Kwa jinsi Arsenal inavyocheza sasa, hatucreate chances toka kwenye central midfield ndio maana hata Auba naye anastruggle kule upande mwingine sio Pepe tu. Willian pia anapata shida hiyo hiyo.
Unapokuwa unacreate mashambulizi kutokea kwny central midfield unafanya defenders wa team pinzani kuconcetrate na kuwa mark CMs kitu ambacho automatically hutoa space kwa wingers (Pepe in particular) kucheza vizuri huku akiwa na space ya kunyumbulika.
Ukitaka angalau Pepe ashine zaidi ya hapo kwny huu mfumo labda apewe free role ili ajitaftie space ya kufanya yake. Hata hivyo statistically Pepe anafanya vizuri sana, sielewi analaumiwa kwa lipi?!
Baada ya kushinda ndo mkafufuka ila mlivyofungwa mlikuwa mmekimbia uzi wenuMzee hii ni Arsenal...
Hongereni mmejitahidi ila mlikimbia uzi wenu baada ya kufungwawewe uliokua unasubiri arsenal ifungwa ili upate la kuongea nakushauri sasa tafuta kitanda ulale pole sana kwa kuambulia usichokipendaView attachment 1620484View attachment 1620485
Aha unajeuri kisa ulishindaJahazi lipi?
Molde angeshinda ingekua ni kama Shakhtar alivyompiga Madrid au Zebra fc alivyopigwa na Basaksehir.Aha unajeuri kisa ulishinda
Jana Pepe kajaribu kucut in na kushuti. Lilikua off target ila ilibidi asiishie pale, pia ana papara akiwa kwenye boksi.Pepe anafanya Interview muda huu na waandishi wa habari Sky sport
Hahaaaaa ila kweli aiseeHuu uzi hakuna shabiki wa timu nyingine anayechangia because we are not fvcking up our opportunities.
Ushindi ni namna pekee ya kuwawekea kufuli katika uzi huu.
Walitaka kumjadili Pepe lakini Pepe kascore na kuassist jana na mechi iliyopita aliscore.
Ushindi back to back kuscore back to back.
Now with Aston Villa hilo kufuli linajaribu kuchezeshwa, performance ya Jpili itawapa hamu ya kuja humu au kuendelea kujificha kwenye mashimo yao.
As usual "Stunning Performance"
Nashawishika kuwa mbele ya macho ya wengi ukocha wanauchukulia kama aina ya 'mazingaombwe', yaani unaweka makaratasi baada ya 'abra kadabra' yanakuwa fedha muda huo huo.Kuna wengine wameshaanza Arteta out
Kwa Sead Kolasinac sishangai, hiyo ni weaker foot kwake na pia ukiona hiyo picha utahisi ni mpira alikuwa kaucontrol ila hiyo ilikuwa ni volley (anaunganisha) na ni matukio yanatokea in a space of seconds.Ukiambiwa mtu alikosa hili goli utasemaje?
View attachment 1620560
Kile chuma cha nne kimetokana na pressing ya hatari mtu akajikuta kapiga pasi fyongo. Nahisi Xhaka au Sead akaunasa akampa Pepe kilichofuata ni Willock kufuta machungu mawili ya nyuma.Hahaaaaa ila kweli aisee
Astonvilla jumapili atusamehe tu kwakweli ,
Ila naona Arsenal tumeanza kucheza kwa mtindo wa Ku press na kukata highline ,
Ila Kazi waliyofanya Jana Xhaka na Ceballos , Aisee ni kubwa , Hakika Elneny kawatishia namba zao,
Elneny Alipoingia Hivi alipoteza pass kweli?
Kuna Goli moja kapiga Pre assist ,
Najua Sasa hivi Arteta anawasoma Astonvilla ajue anakuja na Package gani
Wale jamaa wana Viungo wazuri kama msipo wakamata , McGin , Douglas Luiz,Bakley ,Grelish
Hawa Partey anawatosha kabisa