Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Jibu ni rahisi, tukikutana tena fanya maandalizi utoke na point 3. Kukosea majina sio kitu kikubwa cha msingi mtu anaelewekaHii Timu ikikufunga Adhabu unayoipata kutoka kwa Washabiki wake bora hata ugongwe na gari utapata afadhali.
Enewey DullyJr wafundishe washabiki wenzako kuandika majina ya Wachezaji wenu kwa usahihi wanayakosea sana.
Girudi ×
Viera ×
Aterta ×
Bellarine ×
Tieney ×
Hayo 👆ni baadhi ya makosa niliyoyaona.
Na pia Muzingatie kuwa #ÖzilLifeMatter
#AdrianLifeDoesn'tMatter 😂
Shaqiri
Minamino
Origi
Hivi hua mnasajili ili iweje
Mambo ya usiku ni ya usiku tugange mapya.Point yako ni ipi Labda?
Duh..Mwandishi: Inaonyesha hamjapoteza pesa zenu bure. Gabriel na Partey wote wanaperform vizuri, unaonaje hilo?
Arteta: Yea Elneny was fantastic.
Huyu Luka, huwaga namfikiria sana, namuona msimu ujao akivaa kiatu cha dhahabu kupitia ArsenalRipoti zinasema siku mbili nyuma Arsenal imefanya kikao na wawakilishi wa Houssem pamoja na kaka yake.
Arteta na Edu wameongea na Houssem pia na wamekubaliana uhamisho utasimamiwa na mtu mwingine siyo kaka mtu.
Hii inaweza kumaanisha Houssem atakuja Arsenal January. Ikatokea deal imekwama anayetazamiwa kuja kuziba nafasi ni Dominick.
Binafsi naona kama uwezekano wa wote wawili kuja upo basi waje wote tu kuna fatique na majeraha.
Pia Arsenal wameambiwa wanapotosha kudai wamepasuka kwa Pablo Mari 16M wakati walipasuka 4M.
Naona Arsenal tumekua Bayern, tunabana matumizi, sasa bado kufanikiwa kwa kutumia rejects wa timu nyingine. Tuanze na Luca Jovic.
Fata mambo yako wewe hujui ushabiki ulivyo.na wewe unakuwa kama dada poa, nimekuona kwenye jukwa la Man U ukiisifia Arsenal ilivyomtandika jana, halafu unakuja huku kuonyesha your hypocrites. Be like a man simamamia unaloliamini.
Huyo aombwe kwa mkopo. Madrid pale striker akienda anajikuta katika kivuli cha Karim.Huyu Luka, huwaga namfikiria sana, namuona msimu ujao akivaa kiatu cha dhahabu kupitia Arsenal
Kuwa mpole ..ulitukanwa wewe na nani?@mysterio
Huyo Ollachuga Oc alitaka Jana tufungwa Hana lolote,Ni mnafiki kishenzi na Jana alitutukana Sana.
Za masiku, ulijificha wapi? Maana we jamaa banah, ila kheri mashabiki wenzako wameshakujua. Ukishinda huyo, ukitobolewa huonekani mwezi mzimaRoy Keane juu ya Thomas Partey:
"Kadiri ninavyomtazama, ndivyo ninavyotamani angekuwa katika safu ya kiungo ya [Man] United. Ana nguvu sana..pasi zake zinaenda mbele..anafika maeneo mpira ulipo..Nadhani kijana huyu ana nafasi ya kufanya kile Patrick [Vieira] alikuwa akifanya” View attachment 1618646
Umechanganya JukwaaNaona mnasubiri goli la mganga.
Yana mwisho hayo
Umechanganya Jukwaa
Utakuwa umechanganya Yanga na man uYanga na arsenal ndo wale wale.
Ssa ww huc cho kielew nn hpoGiroud,
Vieira,
Arteta,
Bellerìn,
Tierney,
Over