Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vi ei ara
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa sasa umesema

Hahaha, washabiki hatutakagi kuambiwa ukweli kwamba timu zetu ni mbovu.

Ila kiukweli msimu huu hakuna timu superior kuwazidi wenzake.

Nikifanya ranking:

Top tier nawaweka City, Liverpool, Man Utd na Chelsea.

Second tier nawaweka Leicester, Everton, Tottenham, Arsenal.

The rest kama Leeds, Wolves, Shefield, Crystal Palace na wenzake wote nawaacha chini.

Ukiangalia teams ambazo ziko kwenye same tier, anyone can top it (IMO).

Kutoka tier 2 kwenda tier 1 ndo nasubiri kuona hayo maajabu.
 
Arteta anatakiwa awe anabadili approach ya kushambulia,Naona makocha wengi washatusoma the way tunavyo attack na ndio maana tunashindaa kwa tabu.
 
Mkuu Don Clericuzio,

Tier yoyote ambayo ita 'involve' Chelsea na Man utd this season can't be a Top tier.
 
Mkuu Don Clericuzio,

Tier yoyote ambayo ita 'involve' Chelsea na Man utd this season can't be a Top tier.
Bado ni maoni yake sio sheria, tier1 ipo timu inayopigwa 7 na 6 na hao wa tier za machokoroni!
, na haioneshi kama hao jamaa walibahatisha maana tunaona muendelezo wao



Hapo ndio utajua nini maana ya uhuru wa maoni
 
Mkuu Don Clericuzio,

Tier yoyote ambayo ita 'involve' Chelsea na Man utd this season can't be a Top tier.

Ni maoni binafsi.

Kwa hiyo tier one zibaki Liverpool na City, Man Utd na Chelsea tuwashushe tier 2?

Nimeweka tier 1 iwe na timu 4 in a sense kwamba tutatafuta top 4 kwa ajili ya uwakilishi UEFA.
 
One thing i know for sure kwa ligi hii nyie uefa hamuioni hata kwa uchaw
 
Ni maoni binafsi.

Kwa hiyo tier one zibaki Liverpool na City, Man Utd na Chelsea tuwashushe tier 2?

Nimeweka tier 1 iwe na timu 4 in a sense kwamba tutatafuta top 4 kwa ajili ya uwakilishi UEFA.
Boss mpaka sasa Top 4 haielewiki,sisi tupo nafasi ya 10 lakini Everton anayeongoza ligi katuzidi points 4 tu,Halafu kibaya zaidi mapaka sasa hamna timu yenye uhakika na consistence ya kushinda match after match,

Nahisi hata matokeo ya leo ya Tottenham na Burnley yanaweza kukushangaza,

Huu mwaka sizani Kama bingwa atafikisha points 80+ kwakweli,

League ni ngumu mno,underrated team zinakupa matokeo ambayo huwezi kuayaamini kaabisa..
 
Basi kwa jinsi mlivyo hapo utakuwa unachamba huku umeshikilia kijora, pindo la chupi linaonekana
Hahahahah daa mkuu nimecheka sana kwa hii comment yako, wana wanavyo snitch Arsenal utadhani team zao ni bora vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…