Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Dah hawa Everton tusipokaa vizuri hawa ni balaa.
Wana kocha mzoefu na mtaalam na pia kikosi chao kizuri sana. Me huwa naiogopa sana timu yenye uwezo wa kupiga hizi timu ndogo pale EPL kuanzia goli 3 na kuendelea, hiyo si timu ya kubeza hata kidog
Tuwanyonye wote point 2 2Hawa jamaa watoke sare 3-3 tu ili game isiboe. Ila asishinde mtu
Upo sahihi mzee bbDah hawa Everton tusipokaa vizuri hawa ni balaa.
Wana kocha mzoefu na mtaalam na pia kikosi chao kizuri sana. Me huwa naiogopa sana timu yenye uwezo wa kupiga hizi timu ndogo pale EPL kuanzia goli 3 na kuendelea, hiyo si timu ya kubeza hata kidogo.
Uliota au???Mech ina isha 0-0hiii
Ozìl anakomaa na mazoezi pia Duh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila nikikumbuka mechi ya Westham tulivyoshinda 2-1 watu wakawa wanatukana sababu ya kiwango kibovu na nikitazama matokeo ya Westham mechi zilizofuata baada ya kufungwa na Arsenal nabaki kucheka tu.[emoji3]
Huyu Maguire ina maana VAR haimuhusu?!!Hilo ndio muhimu point 3,
Twende OT tukatembeze kichapo
Nimefurahi kuwaona sokratis na ozil.
Old Trafford utembeze kichapo?Hilo ndio muhimu point 3,
Twende OT tukatembeze kichapo
Lecester leo namfanya ki2 hamnaLeicester city kwa mkopo.
Naimani washika manati watatulizwa hapo hapo kwao.
Kwa timu ipi uliyo Nayo?Old Trafford utembeze kichapo?
Au unaonge na simu.