Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi karibuni 'mistakes' za Luiz zimepungua kwa kiasi kikubwa sana,Sasa wajuvi wa mambo hasa 'Technical' nilikua napenda mnijuze hasa ni kitu gani kili(na)chopelekea 'mistakes' zake nyingi kupungua,

Maana wengine wanasema kua Gabriel anamfichia makosa yake mengi,

Karibuni.
 
Nimpe nafasi mkuu gspain alidadavue hili kiufundi,
Karibu,.....
 
Nyie washika bunduki Kama hammtaki ozil semeni,vinjeni mkataba nae, achukue chake mapema, aende timu nyingine


Nyie ni wasalit, mnashindwa kumtetea mchezaji wenu kisa kuogopa China, China kitu gani, Kwan pesa na ubinadamu bora nini

Arsenal ni timu ya hovyo kweli kweli, weken msimamo, hao China ni mbwa tu
 
Akitoa boko tu mechi ijayo hachezi....tuna beki kama sita hivi zinaweza kucheza namba yake....
 

Umeandika upumbavu, sitaki kuamini kuwa ndivyo ulivyo
 
Hicho kitu nami nilikifikiria sana
 
Aubameyang on Partey:

"We didn’t really have a profile like this in our squad before. In terms of ball progression, beating the press, going forward, he will be very important for us." #AFC #Arsenal
 
David Luiz on Leno’s mistake against Rapid Vienna:

“I think Bernd is amazing. It is part of our philosophy to build from the back, this is a normal thing. You always play to eliminate players from the beginning when you build then it is going to be much easier for the strikers.”
 
Arteta kuhusu Aubameyang kucheza no.9

“Wakati asipofunga, anahitaji kucheza kama tisa. Ikiwa unamchezesha kama tisa, kwa nini usimuweke kushoto kwa sababu amefanikiwa sana kushoto? "
 
Mkuu unamlinganisha Leno na Cech kwenye build up play? Mbona naona Leno yupo huru sana kutumia miguu yake kuliko alivyokuwa Cech! Hata pass accuracy ya Leno ipo juu zaidi ya Cech.
 
Mkuu unamlinganisha Leno na Cech kwenye build up play? Mbona naona Leno yupo huru sana kutumia miguu yake kuliko alivyokuwa Cech! Hata pass accuracy ya Leno ipo juu zaidi ya Cech.
Leno ana pass accuracy kubwa tu , makosa ni sehemu ya mchezo,

Jana Martinez katemea mpira ndani wakamuweka , sijaona Kelele humu waliokuwa wanambeza Leno

David Luiz anasema hivi


.....Bernd ni bora, Ni sehemu ya falsafa yetu kujenga kutoka nyuma, hii ni jambo la kawaida. Tunacheza kila wakati(kutokea nyuma) ili kuondoka kuanzia mwanzo kuelekea mbele ili iwe rahisi kwa washambuliaji. ”
 
Aubameyang:


"My family is from Gabon but I also have some roots in Ghana where Thomas is from so we are family too! Its good for some of our younger players as well to have a player like him, of his calibre at training. They will learn a lot from him"
 
Ni kweli amepunguza sana makosa ukilinganisha na hapo nyuma, na kwa kuitazama timu ikicheza hivi karibuni mtazamo wangu juu ya hilo ni huu;

1. Tactically tangu aje Arteta kumekuwa na transition kwenye namna ya kudefend, kutoka kwenye man to man marking (enzi ya Unai) na kuwa na defensive unit (chini ya Arteta).

Under 'defensive unit style' simply one player (not necessarily a defender) does defensive role for the team and the team does it for a defender. Kwa hyo ni sahihi pia kusema Luiz anafichiwa makosa si tu na Gabriel bali na mfumo mzima.

2. Ukiwa unatumia defensive style ya namna hii unahitaji last central defender mwenye kuelewa game vizuri sana from the mid ground anayeweza kupredict nature ya attack na hivyo kuwa panga defenders wake vema.

Mabeki kama Luiz, Pique, Rio Frednand, Martesecker nk ukiwatazama ni kama sio defenders wazuri sana tactically ila ni wazuri sana kwenye kuorganize defense na kusaidia kupandisha mashambulizi kwa ama kupiga mipira mirefu au kuelekeza defenders wengine pa kupeleka mpira.

Ukiwatazama vizuri wakati wa game huwa wako kama kocha aliye uwanjani, muda mwingi huelekeza wenzao nini cha kufanya na namna ya kujiposition.

Madefender wa aina hii huwa wana nafasi nzuri ya kuwa makocha baadae kutokana na understanding yao ya game. Sorry sikuwa online for a while dully Jr
Nimpe nafasi mkuu gspain alidadavue hili kiufundi,
Karibu,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…